Mkuu kura za hizi tuzo zilianza kupigwa kabla ya kampeni za uchaguzi kuanza.. ni hayo tu
Mkuu kura za hizi tuzo zilianza kupigwa kabla ya kampeni za uchaguzi kuanza.. ni hayo tu[/QUOTE
Nimependa anavyojituma dogo yuko vizuri.
Tunzo bado hazijatolewa, zitatolwa november 15, acha uongo wewe washindi watatangazwa sku hyo hyo, na hatoambulia kitu ajue maana ya peoples power
AFRIMA AWARDS CEREMONY
Date: November 15, 2015
Venue: Lagos, Nigeria
Time: Red carpet starts 4pm 6pm
http://www.afrima.org/index.php/events/afrima-awards-ceremony#

Including Yemi Alade na Brackets too.Godfather pia alikuepo so sijui anataka nan awepo?AKA, DAVIDO walikuwepo among the finest sijui ulitaka wakina nan??
Ooh kajimaliza, ooh hatukupigii kura tena, ooh sijui nini, yule mwimbaji wenu ROMA ana tuzo gani vile?
Kuna mapimbi nayatafuta hapa siyaoni.
TUZO za kipuuzi hizi, zimejawa na uswahili, hujuma na uchawi mwingi, Hazina hadhi kabisa.
Ukawa wanachukia kweli
Ukawa wanachukia kweli