Ubavu
JF-Expert Member
- Jun 19, 2012
- 2,790
- 3,263
Mkuu kura za hizi tuzo zilianza kupigwa kabla ya kampeni za uchaguzi kuanza.. ni hayo tu
Hamna lolote. Si zingepungua hizo kura baada ya kuanza kampeni ?! Watu wamempigia kura baada ya kuona kuwa Tanzania ni moja ashinde magufuri au lowasa Tanzania itaendelea kuwepo tu !