Diamond Platnums adhihirisha ubabe wake Afrika, ashinda tuzo tatu(3) za AFRIMMA

Diamond Platnums adhihirisha ubabe wake Afrika, ashinda tuzo tatu(3) za AFRIMMA

Msisahau wapenzi kumpigia kura ya tuzo ya MTV EMA 2015 itakuwa Milan mwaka huu.

Link hii chini bonyeza piga kura ukipewa "thank you for voting" badi nonyeza X urudi kwa jina lake kuendelea kupiga kura

http://base.mtvema.com/vote
 
Unatisha. Tatizo njaa inakufanya ujidhalilisha na dirty politics.
Kumbuka unao mashabiki wa kila itikadi. Usiwakwaze!!!!

Good job boy!!!. Keep it up!!
 
Tunzo bado hazijatolewa, zitatolwa november 15, acha uongo wewe washindi watatangazwa sku hyo hyo, na hatoambulia kitu ajue maana ya peoples power
AFRIMA AWARDS CEREMONY
Date: November 15, 2015
Venue: Lagos, Nigeria
Time: Red carpet starts 4pm – 6pm


http://www.afrima.org/index.php/events/afrima-awards-ceremony#

Haaaah acha kurupuka wewe unaleta siasa Zako uku izo ni afrima za Jana ni afrimma umeona tofauti afrimma zimefanyika Dallas marekani afrima zinafanika Nigeria Lagos
 
Ooh kajimaliza, ooh hatukupigii kura tena, ooh sijui nini, yule mwimbaji wenu ROMA ana tuzo gani vile?
 
AKA, DAVIDO walikuwepo among the finest sijui ulitaka wakina nan??
Including Yemi Alade na Brackets too.Godfather pia alikuepo so sijui anataka nan awepo?
Wizkid kutohudhurio tunzo hajaanza jana..
 
Ooh kajimaliza, ooh hatukupigii kura tena, ooh sijui nini, yule mwimbaji wenu ROMA ana tuzo gani vile?

Hahaha niliwahi waambia wasimpigie kura ila anayepanga ridhiki ya mtu ni Mungu pekee aibu imewashika na bado Mungu atamsimamia na kumshindia ili watu wenye roho mbaya wapatwe na aibu mwanadamu ni nani hadi umchukie mwenzio Kisa siasa! Mungu uliyejuu ya yote msimamie diamond nakumpaisha zaidi ya hapo.
 
TUZO za kipuuzi hizi, zimejawa na uswahili, hujuma na uchawi mwingi, Hazina hadhi kabisa.
 
Back
Top Bottom