Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hapa ameonesha nyumba au fence?
Sasa hapa ameonesha nyumba au fence?
Duh asante na iphone 6 zimepinda cjui tuhamie wapi....
Via huawei y300
lusungo akikuamuliaa hhhhhaaaaaaaa mpaka wengine wanamuomba msamaha mchezoo
Mmempa nyota eti
Watu hawamuombi msamaha watu wanampuuza uyo lusungo coz ni wakuja fulani halafu amebahatisha uhakika wa mshahara kila mwisho wa mwezi so anaona ameshafika climax fulani ya maisha.
Kuna siku nilimwona jukwaa la elimu anashindana na watoto chuo gani ni best bongo anatukana watu kinoma huko.
Nikaja kumuona tena jukwaa la kazi anatukana watoto wanaotafuta kazi ndio nikamwelewa yule mshamba amebahatisha kuja mjini hakuwai hata kuota.
Iko wapi?Sio nyumba mijumba.
Mwingine anasema mijumba, well haya ni maisha yake binafsi lakini akiamuwa kujianika atuoneshe nyumba tuione na pavement tuzione na siyo kutuonesha fence na paa la nyumba. Jide na Profesa Jay wote wameonesha nyumba zao nje na ndani.Huoni nyumba hiyo mpwa......
Au kwenye fence kuko idle???
Iko wapi?
Mwingine anasema mijumba, well haya ni maisha yake binafsi lakini akiamuwa kujianika atuoneshe nyumba tuione na pavement tuzione na siyo kutuonesha fence na paa la nyumba. Jide na Profesa Jay wote wameonesha nyumba zao nje na ndani.
Watu hawamuombi msamaha watu wanampuuza uyo lusungo coz ni wakuja fulani halafu amebahatisha uhakika wa mshahara kila mwisho wa mwezi so anaona ameshafika climax fulani ya maisha.
Kuna siku nilimwona jukwaa la elimu anashindana na watoto chuo gani ni best bongo anatukana watu kinoma huko.
Nikaja kumuona tena jukwaa la kazi anatukana watoto wanaotafuta kazi ndio nikamwelewa yule mshamba amebahatisha kuja mjini hakuwai hata kuota.
Samahani Kama hutojali unaweza weka hiyo post niliyopindea vijana wanaotafuta kazi?
Nimesaidia vijana 6 humu kupata ajira serikalini na sijawahi tangaza mbali ya walimu niliowasaidia kupata nafasi DSM
Sinaga mpango wala nafasi na washenzi ila penye msaada wamaana nasaidia ndio maana wapo wanaoniheshimu....
Kwa habari ya kujenga na kupiga PESA sijui hapa mjini kila MTU angetangaza ingekuwaje...
BTW hongera zenu maana ni hatua kubwa kwenu watoto Wa uchafuni lakini kwasie tuliokulia maisha hayo it is not an issue.....
hhahhah na bado Wema amemwacha ndio ashasepa na Kajumozi atatafuta kick sana mwaka huu
Samahani Kama hutojali unaweza weka hiyo post niliyopindea vijana wanaotafuta kazi?
Nimesaidia vijana 6 humu kupata ajira serikalini na sijawahi tangaza mbali ya walimu niliowasaidia kupata nafasi DSM
Sinaga mpango wala nafasi na washenzi ila penye msaada wamaana nasaidia ndio maana wapo wanaoniheshimu....
Kwa habari ya kujenga na kupiga PESA sijui hapa mjini kila MTU angetangaza ingekuwaje...
BTW hongera zenu maana ni hatua kubwa kwenu watoto Wa uchafuni lakini kwasie tuliokulia maisha hayo it is not an issue.....
Watoto wa Uchafuni??? Ndo wapi huko??
Huko wanakotoka watoto ambao siku wakila nyama kwao wanatangaza mtaa mzima wajue...
Ni ushenzini ambako kuna kima wanaoishi kwa macho ya watu....
Akinunua khanga anataka watu wajue akijenga nyumba anaweka posters watu wajue ni ushenzi na uduni Wa maisha ndo unawafanya wawe hivyo..