Papizo
JF-Expert Member
- Feb 24, 2008
- 4,951
- 1,446
Nifwate private
Yoyote yule au ni yeye mwenyewe mkuu.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nifwate private
Wadau sjui nisemeje ila kw mtto wa kiume hasaa na mweny roho kavu ya ujasir na utafutaj na mweny maono hua anajifua usku na mchana kuhakk kua akaunt yake ama saccos ama bsnnz zaenda na akikaa maskan bas anatafuta one two za kushea ili mrad mamb yaende,,ila kw anemsfia kjna mwenzie kisa kajenga kibanda tena kw ajil yake na familia yake na urith wake afu ww unasfia mixa bifu na masela kisa kakukosoa!!hatarr,msifie bas hata BABA au MAMA yako wamejenga kibanda ndo na ww ukapat pa kukaa,achen izi mamb,jichue msuli uyajenge yako..
Hapo Dangote kaua wanafiki woteee aisee ,kafanya la maana sanaaaaaaa Dangotee
Kupitia ukurasa wake wa instagram ametupia picha yenye fenc na mijengo ya maana ndani yake na kuuita mama chibu village...
Hongera sana diamond platnumz
Source page yake....picha will follow najaribu kuprint screen via my Huawei...
Kupitia ukurasa wake wa instagram ametupia picha yenye fenc na mijengo ya maana ndani yake na kuuita mama chibu village...
Hongera sana diamond platnumz
Source page yake....picha will follow najaribu kuprint screen via my Huawei...
Huyu Diamond naye afunge bakuli lake wakiitwa wenye kijiji na yeye atatoka mbele? Yeye akisema anakijiji DAUDI KANYAU atasemaje? Aseme kakibanda ka mama yake, mwenzake kajenga nyumb yake ya mama yake ya watoto yatima imamu ,msikiti na shule ya watoto yatima na hana mshauzi kma yeye masikini akipata..m.k.u.n.d.u upiga makofi papapapa...!
Naona Malaya wa jiji waliokosa soko na kazi wanakandamiza likes tu kwenye shombo....
We nae mchonganishi!!
Nyumba hiyooo...
Ndio maana Wema anawaponda na huawei zenu LOL
Domo hayo ndio mambo sasaaaa una akili sanaaaaa sio kama akili za kina Ck kuhonga tu waooo
Uchonganishi dili kila mtu humu mchonganishiii