Diamond platnumz aanika kijiji chake alichojenga

Dai hana mambo ya kipuuzi ya kutuza pesa ovyo kama huyo wema wakee

Wiki hii kapata deals za kutangaza dstv na mziiki application. Anapiga tu pesa kijana wa uswazi hata lusungo na @mdakwapa wamekubali.
 
Last edited by a moderator:
Wiki hii kapata deals za kutangaza dstv na mziiki application. Anapiga tu pesa kijana wa uswazi hata lusungo na @mdakwapa wamekubali.

Muache binamu yangu lusungo yupo bussy atii
Kajitahidi na zile zake ameshamaliza au ameanza na ya mama kwanzaa
 
Last edited by a moderator:
Muache binamu yangu lusungo yupo bussy atii
Kajitahidi na zile zake ameshamaliza au ameanza na ya mama kwanzaa

Hilo trailer tu. Ana matusi makubwa sana huyu mtoto wewe mpaka wabishi tumemvika nyota usifanye mchezo.
 
Last edited by a moderator:
Hilo trailer tu. Ana matusi makubwa sana huyu mtoto wewe mpaka wabishi tumemvika nyota usifanye mchezo.

lusungo akikuamuliaa hhhhhaaaaaaaa mpaka wengine wanamuomba msamaha mchezoo
Mmempa nyota eti
 
Last edited by a moderator:
Duh asante na iphone 6 zimepinda cjui tuhamie wapi....
Via huawei y300

Hahaaaaaa huawei Y300 we kijana acha kunichekesha aisee
maana kuna rafiki yangu anayo halafu imepasuka kioo sa hapa namu imagine umenichekesha
 
lusungo akikuamuliaa hhhhhaaaaaaaa mpaka wengine wanamuomba msamaha mchezoo
Mmempa nyota eti

Watu hawamuombi msamaha watu wanampuuza uyo lusungo coz ni wakuja fulani halafu amebahatisha uhakika wa mshahara kila mwisho wa mwezi so anaona ameshafika climax fulani ya maisha.

Kuna siku nilimwona jukwaa la elimu anashindana na watoto chuo gani ni best bongo anatukana watu kinoma huko.

Nikaja kumuona tena jukwaa la kazi anatukana watoto wanaotafuta kazi ndio nikamwelewa yule mshamba amebahatisha kuja mjini hakuwai hata kuota.
 
Last edited by a moderator:

Akija mtamalizana aiseee tuendelee na topic yetuu banaa ya Daimondoooo
 
Last edited by a moderator:
Sio nyumba mijumba.
Iko wapi?
Huoni nyumba hiyo mpwa......

Au kwenye fence kuko idle???
Mwingine anasema mijumba, well haya ni maisha yake binafsi lakini akiamuwa kujianika atuoneshe nyumba tuione na pavement tuzione na siyo kutuonesha fence na paa la nyumba. Jide na Profesa Jay wote wameonesha nyumba zao nje na ndani.
 
Ikimalizika ataionyesha....bado ujenzi waendelea
 
Hongera Diamond!
Nyumba? Kijiji?
Kijiji hakiwezi kuwa na nyumba zisizo pungua 30!
 
Samahani Kama hutojali unaweza weka hiyo post niliyopindea vijana wanaotafuta kazi?

Nimesaidia vijana 6 humu kupata ajira serikalini na sijawahi tangaza mbali ya walimu niliowasaidia kupata nafasi DSM

Sinaga mpango wala nafasi na washenzi ila penye msaada wamaana nasaidia ndio maana wapo wanaoniheshimu....

Kwa habari ya kujenga na kupiga PESA sijui hapa mjini kila MTU angetangaza ingekuwaje...

BTW hongera zenu maana ni hatua kubwa kwenu watoto Wa uchafuni lakini kwasie tuliokulia maisha hayo it is not an issue.....
 
Last edited by a moderator:

Umefikaaaa teh tehhhh
 
Watoto wa Uchafuni??? Ndo wapi huko??
 
Watoto wa Uchafuni??? Ndo wapi huko??

Huko wanakotoka watoto ambao siku wakila nyama kwao wanatangaza mtaa mzima wajue...

Ni ushenzini ambako kuna kima wanaoishi kwa macho ya watu....

Akinunua khanga anataka watu wajue akijenga nyumba anaweka posters watu wajue ni ushenzi na uduni Wa maisha ndo unawafanya wawe hivyo..
 
Hhhhhaaaa ni shidaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…