Hhhhhaaaa ni shidaaaa
Sijui wote tungetangaza maisha yetu ingekuaje hapa mjini
Nipo bina
Huko wanakotoka watoto ambao siku wakila nyama kwao wanatangaza mtaa mzima wajue...
Ni ushenzini ambako kuna kima wanaoishi kwa macho ya watu....
Akinunua khanga anataka watu wajue akijenga nyumba anaweka posters watu wajue ni ushenzi na uduni Wa maisha ndo unawafanya wawe hivyo..
Umeona matumbo anakuchokoza ili uongee tu
Wakati hujisikiii
Mi leo nimekunywa soda kanisaidie kutangazaa basii
Watoto wa Uchafuni??? Ndo wapi huko??
Sijui kwanini ukiongea maneno ukinyamaza maneno nashangaa Sana huko PM ndo kazi tupu
Usijali binamu ntakutangaza tena kwa spika za msikitini kila MTU asikie
Wakuwaachee miaka 1000999
Kabisa kabisa ntakupa milion moja posho tu hiyoo
ha ha ha ha utanipa yote yote au ndo vile Kama michezo ya washenzi wamjini anatunza jukwaani hela za kuazima backstage anarudishiwa ili aoshe jina
Hao mbwa hata wasiponiacha mi ntawaacha tu wakija kwenye kona naponda mabichwa yao tu
Wataongea nini tena hapo na wamepewa sucker punch. wengine wameanza kulia na fensi.