Diamond platnumz aanika kijiji chake alichojenga


Hili ni.jukwaa.la celebrities ww mbimbi..akijamba tunae apa kalaghabaho
 
Hapo Dangote kaua wanafiki woteee aisee ,kafanya la maana sanaaaaaaa Dangotee

WEWE tena unasema si ndo mnafiki huwa humpendi mpaka kumwita DOMO NA MANENO YOOOOOOOOOOTE LEO KAWA MZURI!!!KWELI UNA diploma ya unafiki DINAZARDE!!
 
Kupitia ukurasa wake wa instagram ametupia picha yenye fenc na mijengo ya maana ndani yake na kuuita mama chibu village...
Hongera sana diamond platnumz
Source page yake....picha will follow najaribu kuprint screen via my Huawei...

kijii cha jacob zuma unakijua mkuu!!
 
Kupitia ukurasa wake wa instagram ametupia picha yenye fenc na mijengo ya maana ndani yake na kuuita mama chibu village...
Hongera sana diamond platnumz
Source page yake....picha will follow najaribu kuprint screen via my Huawei...

Huyu Diamond naye afunge bakuli lake wakiitwa wenye kijiji na yeye atatoka mbele? Yeye akisema anakijiji DAUDI KANYAU atasemaje? Aseme kakibanda ka mama yake, mwenzake kajenga nyumb yake ya mama yake ya watoto yatima imamu ,msikiti na shule ya watoto yatima na hana mshauzi kma yeye masikini akipata..m.k.u.n.d.u upiga makofi papapapa...!
 
Me nauliza niliwahi kuona pic swimng pul za huyu msanii je zimeshaisha????? mwenye kujua plz
 
WEWE tena unasema si ndo mnafiki huwa humpendi mpaka kumwita DOMO NA MANENO YOOOOOOOOOOTE LEO KAWA MZURI!!!KWELI UNA diploma ya unafiki DINAZARDE!!
Dinazarde mtanzania wa kwanza kua na diploma ya unafiki aliyotunukiwa na mbeba pochi wa Wema Heloo
 
Last edited by a moderator:
Sijaona hiyo fense na paa tuweke kwenye kundi gani,si villa,condo,appartment wala estate hiyo ni house,swimming pool ishakwisha?
 
Nyumba...nyumba kitu gan kwan ye ndo wa kwanza kujenga...!ni wajibu wake awe na kibanda cha kuishi kama mwanaume..khee mapovu yanawatokaaa
 

Na wewe mda ukifika utapwita na kupga makofi....huu.ni wakat wake
 
Na ile yenye swimming poool imeisha au
 
Ati nasikia chif kiumbe alimpa gari ya bure akamwaga na gari akamrudishia sasa sijui kapata basha gani kamjengea?naona kijana jukwaa lake la wakubwa linapata wapandaji wakutosha
 
Nyumba hiyooo...

Ndio maana Wema anawaponda na huawei zenu LOL

Sujakulewa binamu, wema anatuponda na simu zetu za huawei na hiyo nyumba ya ndomo vinahusianaje?

hayo maneno angesema ndomo ambaye tunajua ana fight sio huyo malaya wa jiji, anayehongwa hadi simu
 
Domo hayo ndio mambo sasaaaa una akili sanaaaaa sio kama akili za kina Ck kuhonga tu waooo

Ndo maana mama ubaya hatak kuondoka kwa ndomo, maana kashafukuzwa nasikia mara kibao ila bibie hatak kuondoka kumbe anamendea mjumba ndio maana kutwa analilia ndoa mfyuuu mamaee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…