Diamond Platnumz aburuzwa Mahakama ya watoto na Hamisa Mobetto!

Diamond Platnumz aburuzwa Mahakama ya watoto na Hamisa Mobetto!

Diamond kachemka kuchukua vinuka mkojo,anataka kumalizia umasikini wake kupitia mtoto


Pole sana diamond,huyo mnuka mkojo mtapelekana sana
 
KIUHALISIA DIAMOND HAJAMDHALILISHA HAMISA! huo ndio Ukweli Lia HAMISA NDIO alianza Kumdhalilisha Diamond!

Hata hivyo sheria za mahakamani kwa kumlea mtoto ni shilingi Elfu 70 kwa Mwezi so Hamisa hata akishinda ataambulia elfu 70 kwa mwezi JAPO AM SURE 100% Hata shinda kesi ya kudhalilishwa
 
Diamond alikosa ustarabu kwenye kulizungumzia swala hili siku ile clouds akawa anamponda tu hamisa utadhani hamisa ndo alichukua manii zake kwa nguvu... na kama alimuhaidi kumuoa ndoa akome may be alikua anatongozea gia hio.. mambo ya marekani yameanza kutia maguu bongo sasa
 
'.. the bitch is dying for fame..' Platinum
 
Kaniacha hoi alivyosema ' hajaoa daaahhh' Zari ajue yeye sio mke kumbe.

Matumizi kama hatoi na kipato anacho ni mahakamani tu hamna namna.
 
Mbona mnakuza, ishu hii ndogo yy aliambiwa sasa hivi akitaka mpunga aende kwa mwanasheria wake na si kama zamani, alikuwa akienda directly kwa dee. Mwisho dada zangu msitegemee kuwategeshea wenye ela zao,mwengine huyu apo kamtegeshea cris brown, akampeleka mahamani eti anataka dollar 20000 ,mwisho wa siku kaambulia $2500
Screenshot_2017-10-05-19-45-51.png
Screenshot_2017-10-05-19-45-51.png
 
Hivi unadhani hii ni kesi ya kisiasa au ya kibiashara?

Dunia mzima demu akikupandisha mahakamani kwa issue ya child support labda uwe mchovu ndio salama yako.

Kama Diamond anawashauri wazuri na anawasikiliza hizi ni issue za kumaliza nje ya mahakama.

Tena kwa nchi kama Marekani ndio usiombe child support unakatwa juu kwa juu kwenye source zako inaenda kwa mama.

Shabikieni mambo mengine lakini siyo Child support muulizeni Le Mutuz kakimbia nini Marekani.
Mkuu izo ni nchi za wengine.... Nchini kwako sheria inakutaka utoe elfu 70,000tu kwa kila mwezi...
 
huyo mwanamke nae anakipele kwakweli.

huku kitaa walezi hawatoi hela mwaka ivi naa saa ingine matusi juu ila wala hawashitaki km afanyavo huyu mabeto

km mpelwkesho acha tu aupate mondi
 
Hii ndo hasara ya ngono zembe. Tumieni ndomu vijana wenzangu wanategesha tuu
 
Duh... Ila bora huyu jamaa angezaa na MTU wa nje, wabongo dahhhh
Hahaaaa. Wabongo siku zote huwa tunajua kuzitumia fursa jirani yaani mtu anasubiri uteleze au anakutelezesha makusudi ili yeye apatie hapo hapo.
 
Sema huyo manzi Hamisa ana njaa kali sana, yaan yeye timing yake ni kuzaa na wenye pesa tu, hana shughuli maalum mjin
Amezaa na Wangapi jameni huyu atakua wana magomvi na kuna lundo la wanawake wanashitaki watu msiongee hili saaana kwasababu tu Dimondo ni star...ila wapo wengi na kesi ziko nyingi sana..
 
Kaniacha hoi alivyosema ' hajaoa daaahhh' Zari ajue yeye sio mke kumbe.

Matumizi kama hatoi na kipato anacho ni mahakamani tu hamna namna.
Ina maana wewe ulikuwa unajuwa Zari ni mke wa Diamond? Basi Watanzania mna poor IQ kama mnashangaa Diamond kutowa kauli hiyo.
 
Mwanamuziki Diamond Platnumz amepelekewa wito wa kuitwa mahakama ya watoto na mzazi mwenzake, Hamisa Mobeto kwa madai ya kushindwa kumuomba radhi na kutoa matunzo ya mtoto.

Mwanamuziki Diamond Platnumz amepelekewa wito wa kuitwa Mahakama ya Watoto na mzazi mwenzake, Hamisa Mobetto kwa madai ya kushindwa kumuomba radhi na kutoa matunzo ya mtoto.

Wito huo wa Diamond umewasilishwa na mawakili wa Mabetto, Abdullah Zulu na Walter Godluck kutoka Kampuni ya Uwakili ya Century Attorneys.

Katika wito huo Diamond Platnumz anadaiwa kumdhalilisha na kutompa matumizi ya mtoto kwa takribani miezi miwili.

Wakili Zulu akizungumza na Gazeti la Mwananchi leo Alhamisi amesema mteja wao Hamisa Mobetto alimtumia Diamond notisi ya kumuomba radhi na kumtaka apeleke matunzo ya mtoto ndani ya siku saba.

“Baada ya kuona kimya tulipeleka kesi katika Mahakama ya Kisutu upande wa watoto (The Juvenile Court Of Dar es Salaam) na leo(Alhamisi) tumepewa barua ya wito na tayari mwanasheria wa mwanamuziki huyo ameipokea,” amesema.

Zulu amesema kesi hiyo itaanza kusikilizwa Oktoba 30, mwaka huu.
Hapa ni jukwaa la siasa. Kwa nini hapa haya mambo ya nyumbani na watoto?
Mod. hamisha hii peleka kule mambo mchangayiko
 
Haya sasa,huyu si ndio mkwe apendwaye na mama Dai???
 
Chibu pokonya Rav4 balaa ilo kisha iuze,

then lipa kabisa 70 elfu mara miaka miwili na nusu
 
Back
Top Bottom