cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
Siyo assumption hii mkuu.....mimi kama Diamond namchukua mwanangu alelewe na bibi yake ama Zari na mimi mwenyewe ila si kwa Hamisa na nakata kabisa mawasiliano naye. Changu haendekezwi hata siku moja, wao ni kuharibu ndoa za watu tu.
Ha ha haaaaaa
Zari tayari anamsomesha namba sasa hivi.