Diamond Platnumz aburuzwa Mahakama ya watoto na Hamisa Mobetto!

Diamond Platnumz aburuzwa Mahakama ya watoto na Hamisa Mobetto!

Sio kweli...

Kuna mtu wangu wa karibu aliyafanya kama haya ya hamisa ila hakutoa hata senti!

Kesi iliisha na demu akashinda wakakatana juu kwa juu

Upoo nyonyooo?
Read Section 59 of the Advocates Act
 
Kesi yenye pesa za wazi kama hii wakili yeyote anaingia kazini malipo yatatoka humohumo, hao mawakili wengine ni wadogo zetu tena kesi kama ya Wema Sepetu anatetewa bure bila malipo mawakili wanatengeza CV zao
That's amount to misconduct
 
Hivi unadhani hii ni kesi ya kisiasa au ya kibiashara?

Dunia mzima demu akikupandisha mahakamani kwa issue ya child support labda uwe mchovu ndio salama yako.

Kama Diamond anawashauri wazuri na anawasikiliza hizi ni issue za kumaliza nje ya mahakama.

Tena kwa nchi kama Marekani ndio usiombe child support unakatwa juu kwa juu kwenye source zako inaenda kwa mama.

Shabikieni mambo mengine lakini siyo Child support muulizeni Le Mutuz kakimbia nini Marekani.
Le mbebez si alikimbia maisha yalimpiga akaona aje bongo kupiga selfie kwenye mahotel ili tujue mtoto wa malechela

Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app
 
Siyo assumption hii mkuu.....mimi kama Diamond namchukua mwanangu alelewe na bibi yake ama Zari na mimi mwenyewe ila si kwa Hamisa na nakata kabisa mawasiliano naye. Changu haendekezwi hata siku moja, wao ni kuharibu ndoa za watu tu.
Alelewe na zarina huyu huyu au unamaanisha zaina????
kwa upuuzi huo apeleke na mtoto chinekee
 
Kwa tz sijui kama ni big issue nilishangaa mbunge yule wa zanzibar aliyemkataa mtoto wake kisa alizaliwa ana kilema akagoma kuwa anatoa matumizi mpaka joyce kiria na yule mama wakampeleja mahakamani eti mahakama ikamwambia awe anatoa kitu kama 250,000 tu kwa mwezi.
Niliona kama ni pesa ndogo compared na uwezo wa huyo mbunge.
 
Wote wafungwe mana ni wazinzi wakubwa,this is guilty even before the God's commandments!
 
Mawakili hawajapewa hata senti...wanasubiri washinde kesi wapokee chao!
Si kweli. . labda zile kesi wanazopangiwa na TLS nyingine unalipa tens kesi ya mobeto lazima wavute chao kwanza asilimia 70 nyingine baada ya kesi kuisha
 
Daimond futa hii kesi,itakucost kimataifa,watu hawataki kuskiaga umewaneglect watoto wako..............................ifute mapema kabla haijaenea duniani.....................
Rebeca mbona hapa JF ndio duniani au unaongelea dunia ipi!
 
Back
Top Bottom