Diamond Platnumz aburuzwa Mahakama ya watoto na Hamisa Mobetto!

BASHIR Y
 
Wewe ni Bush lawyers umri unaoruhusiwa wa baba kuishi na mtoto ni kuanzia miaka 7 hio ni kwa mujibu wa sheria ya mtoto ya mwaka 2009
 
Kati vitu Vilivyonishangaza sana sana sana!!!!! Ni mshikaji kuzaa na huyo demu daaaah!!!

Hata kutumia kondomu mchizi sijui akili yake ilikuwa wapi?

Japo ni maisha yake binafsi but kuna vitu vinahitaji umakini sana sana sana .

Anyway atunze tu mtoto ndo ishatokea .
 
Wewe ni Bush lawyers umri unaoruhusiwa wa baba kuishi na mtoto ni kuanzia miaka 7 hio ni kwa mujibu wa sheria ya mtoto ya mwaka 2009
inategemea na case yenyewe unaweza hata ukapewa mtoto wa wiki moja ukaishi nae
 
Watu wengi hawajui sheria inasemaje. Hamisa ameshauriwa vibaya. Asijidangaje sheria itapindishwa apewe milioni kwaajili ya matunzo kwa mwezi. yeye sio mke ni Incubator tu hivyo Mali za diamond hazimuhusu kabisa. Atajikuta anapewa 40000 kwa mwezi + hela ya usumbufu na kuanzia maisha kama m2 au 3 hivi. Diamond itakua wajanja wamemfungua akili aache ungese kutoa laki 5 kulea mtoto kumbe hela zote mwanamke ananunulia madera.
 
Hamisa amuulize Wema maana analijua balaaa la Domo...

Domo hatoagi hata mia anapenda maku za bure kigezo kikiwa ni ndoa na haoi!

Alimnyonyolesha Wema upara na kumvalisha madera ili tu asinunue Mawigi ya malaki na vitopu vya Gucci
Ahahaasaaaaaaaa.....wee mzee wewe...ALIMNYONYOLESHA UPARA ...ahahahahaaaaaa...umeuwaaaa
 
Hata
Hata ukitumia kondom kwa demu anaetaka kuzaa na wewe anachukua shahawa kwenye kondom anajitanua vizuri anajimwagia na kuisukumia ndani mchakato wa mimba unaendelea
 
sheria hii ya miaka 7 ibadilishwe,,ikiwezekana hata mtoto akimaliza kunyonya baba apewe ndo hapa mambo za kutegesheana ili mtu apate mtaji zitaisha.
 
Hamisa na wakili wake ni wapumbavu tuu...wanatakiwa kujua kuwa sheria haijaelekeza kutoa matunzo kulingana na uwezo wako bali imeelekeza kabisa kiasi cha kutoa kama matunzo kwa mtoto....sasa mwisho wa siku hiyo hela lazima itapungua tena maana laki mbili ilikuwa ni kinyume na sheria.....
Hamisa atafute shughuli ya kufanya kamwe hawezi pata 5 million labda za kuchora chini
 
hivi ingekuaje kama hamisa angekua 15 yrs!!damu ingemwagikaaa mana diamond 30 ingemuhusu sio 70 tena.
 
🙂🙂hivi mpaka nyaraka za kiserikali wanaandikaga na a.k.a kumbe? nilijua ni polisi tu ndo hutumia wakitangazaga wahalifu
 
Tatizo kuchukua watoto pori a.k.a kuku wa kienyeji ndio matokeo yake. Wacha apambane na hali yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…