McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,558
Kuna ishu kadri unavyokomaa na kujifanya nunda ndivyo inavyozidi kula muda wako na kuharibu image yako.
Diamond amepambana sana kufika hapo alipo ni wakati sasa amalize huu upuuzi ili asijitie doa akachafua kazi yote aliyoifanya kwa muda mrefu naona Hamisa shida sio sarafu tu ila amepania kumtia adabu dogo nahisi dogo nyuma ya pazia alimdanganya vingi mwenzake kiasi kwamba Hamisa anaona bora amhenyeshe ilimradi image ya dogo ipate mushkeri kidogo,alafu yule ni mtoto wake tu ni heri ampe tu matumizi ya kutosha kama mama wa mtoto atakua mwehu anune madera kazi kwake yeye kesho atamuambia mwanawe jinsi alivyopambana angalau ila wale mameneja nao ni watu wazima wanashindwa kumdhibiti Hamisa duh.