atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,497
- 9,728
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Si hivyo swala ni kuwa hana kazi,
Kitegauchumi bado kinakandwa hela atapata wapi, lazima apambane na kesi familia itakula nini!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Si hivyo swala ni kuwa hana kazi,
Kitegauchumi bado kinakandwa hela atapata wapi, lazima apambane na kesi familia itakula nini!
Uswahili ni tatizo sana. Anaenda kule ataambiwa apokee elfu 40 kwa mwezi. Ngoja ajifunze. Maana kuwa mjinga ni janga kubwaNani kakimbia majukumu? Hamisa amekataa hisani ya laki mbili anataka million tano utafikiri huyo mtoto ana kula madini ya tanzanite.....
Wewe ni mjinga, Diamond hana ndoa, pili kwenye court of law kuna umri ambao lazima mtoto afike ndio baba unaweza kupewa mtoto unless court ithibitishe pasi na shaka yoyote kwamba mtoto kuendelea kukaa na mama kuna madhara makubwa. Na uelewe kipengere hiki hakijatowa sababu za kubuni au kutunga, sababu mojawapo labda mama ithibitike ana tatizo la afya ya akili mental case.
Pitia sheria za mtoto vizuri utagundua kuwa baba hawezi kumchukua mtoto mchanga kama huyo kwa mama yake mpaka aidhibitishie mahakama vitu kadha wa kadha ambavyo kwa haraka-haraka Mobeto hawezi kupokonywa mtoto kamwe.
Bora hivyo hawa msingi kiuno huwa wanasumbua sana!Kaka mi nattommbeaga mbali hukooo. Pia nina chumba tabata ikibidi ndo namuambia hapo ndo kwangu.
Hamisa anategeshea mimba wenye pesa akidhani ndio kuolewa, mtoto wa kwanza kazaa na Majey, akaachwa majey karuka na lulu leo tena kazaa na mondi akitegemea ndoa sasa anaenda mahakamani, sijui kesho atazaa na nani tena? yani yeye anaishi kwa kutegemea pesa za matunzo ya watoto tu. Shida sana.Amezaa na Wangapi jameni huyu atakua wana magomvi na kuna lundo la wanawake wanashitaki watu msiongee hili saaana kwasababu tu Dimondo ni star...ila wapo wengi na kesi ziko nyingi sana..
Una ushahidi kua alitegesha mimba?Unamuonea huruma mtu alietegeshea mimba?,mwache apambane na hali yake
Majizo (Francis Cizza) Mmiliki wa Efm & EtvKAZAA NA WENYE PESA WANGAPI MKUU TUJUZANE!
Na mama anaweza kujibu pia baba ni changu dowa wa kiume na madale ni Guest house ya kufanyia uzinzi wake na Diamond hana mke wa kuangalia na kumtunza mtoto wa huyo changu mwenzake.Katika court hiyo hiyo of law baba unaweza kuwaambia kuwa mtoto atakuwa hatarini akiishi na Mama yake maana ni changudoa na hautaki mtoto wako aishi katika mazingira hayo.....hii ipo na I've seen it.

Kazi kuu ya condom ni kukinga mimba zisizotalajiwa, humu kuna vibwengo hawajielewi.Una ushahidi kua alitegesha mimba?
Nani kakimbia majukumu? Hamisa amekataa hisani ya laki mbili anataka million tano utafikiri huyo mtoto ana kula madini ya tanzanite.....
AhsanteeKazi kuu ya condom ni kukinga mimba zisizotalajiwa, humu kuna vibwengo hawajielewi.