McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,558
nimeuliza nikidhani umesoma wito wa mahakama aliyo pelekewa Diamond..
Ulishauri Diamond afute case wakati aliyefungua case ni Hamisa..
Wala usijali Diamond haito mgharimu chochote hii case zaidi ya sheria kufata mkondo tuu na hii case atashinda na hakuna million tano itakayo tolewa...
Diamond hajakataa kumtunza mwanae bali Hamisa ndio amekataa kiasi anachopewa ...
Kiasi anachotaka Hamisa hakijawai kuwepo kabisa hapa tanzania na kwa sheria zetu....
Hamisa ana poteza muda...
Hakuna kiwango cha kumlea mtoto wako ni ukosefu wa akili na ustaarabu kusubiri serikali ikupangie kiwango kwa nyama na damu yako mwenyewe,ugomvi wake na mzazi mwenzie usimtoe kwenye mstari wa kua baba bora kwa kua anamudu kufanya kitu ni heri afanye kwa manufaa ya mwanae hizi saga zitamgharimu akumbuke hata yeye yuko mbali na baba ake kisa tu vurumai kati ya baba na mama ake na baba kutomlea ipasavyo kwa nafasi yake bora amlee mtoto wake kama anavyowalea wengine ikitokea mama akaamua kutumia vibaya anachopewa yeye anakua salama inawezekana hata baba ake Diamond alikua anatiwa ujinga na masela zake kua alete usela ila leo anajutia.