Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu mkiona kesi kidogo au mtafaruku kidogo tu kwa mond mnawahibkwny anguko....hivi hamchoki na mautabili yenuHuu ndio mwanzo wa anguko la Diamond
Ulimuua Ivan kivipi kwa mfano?! Na kwanini Ivan afe kwa ajili ya ukahaba wa Mond na asife kwa ajili ya ukahaba wa mke wake?!Diamond hiyo ni laana ya Ivan. Ukahaba wako ulichangia kumuua Ivan. Sijui kama utavuka.
kuna wale wenye mtego wa nipe nitailea ukikubali imekula kwakoLa kujifunza hapo ni aina ya mwanamke wa kubeba ukiangalia uzuri tu utaumia, huu mchezo hata huku mitaani upo sana,
Unakuta umejenga upo na mke wako alafu kuna bar ya jiran umezoea kunywa hapo,
Utakuta kuna vibinti vinajipitisha hapo ni balaa na ni majirani na mkeo wamfahamu sasa wewe jidanganye useme nimependwa upite naye hata mara moja,
Ujue mimba inakuhusu na hawatoi yaani unaweza tamani kuhama mtaa na umejenga!
Demu mjinga tu, mbona Mond keshakubali tangu zamani! Na wala hakuwahi kukataa! Na alizokuwa anapewa zamani ni nyingi maradufu kulinganisha na zile atakazopata kwa mujibu wa mahakama!Teh teh!!!
Ila kijamaa kitaamriwa kilipe kile kima cha serikali kwa matunzo ya mtoto ambacho by the way ni kiasi kiduchu...
la hasha hako kasichana ka dayadomo kanataka tu ulimwengu ujue kuwa kama domo akikubali kulipa matunzo basi kakubali mtoto
Ulipwe kwa kumlea mwanao????? Acha kujitia aibu mbele ya jamii....no wounder wanawake kujisifia ushujaa wa kubeba mimba 9months wakati vidume tunabeba kende zetu all.our lives and no complains.Timu Dai embu fikirieni,
hii hela inaweza ku cover vitu basic vya mtoto tu,
haitoshi,kumpa na mama yake matunzo,
yes,na yeye alipwe,
Muda anaoshinda na mtoto,angeweza kwenda kazini au kwenye shughuli nyingine za kimaendeleo...........
hii sheria itazamwe upya.....
Shoga wema na dai wamerudiana[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Finally u have said the bitter truth
Ahsanteeee mwaaaaaa[emoji7] [emoji7] [emoji7]Hivi uliwahi kuwaza kama mimba yako ingechomolewa tungechat na nani hapa sasa hivi?
Mie huyu binti namuita muuza bucha....acha atoe huduma ya nyama. Naskia kasoma LLB UDSM.....kweli eliku yetunineshuka sanaa na ifike mahali tukubali tanzania imejaa vilazaKumbe ungekuwa wewe ndo Diamond ungefanyaje?! Wakati wa ujauzito alikuwa anahudumia above many men would do; 70K per day! Diamond alipotaja hicho kiasi watu waliamini anatafuta kiki. Majuzi baada ya Idris Sultan kumzingua Hamisa, povu la Hamisa kwa Idris likathibitisha ukweli wa 70K.
View attachment 603014
Hizo sehemu nilizo-underline zinathibitisha kwamba ni kweli Hamisa alikuwa anazilamba 70K daily na usafiri juu! Hapo ilikuwa hata mtoto hajazaliwa!!
Sasa kama mtu aliweza kuhudumia mimba kiasi hicho, ndo angeshindwa mtoto?!!
Matokeo yake, Hamisa akakutana na wajinga wenzake akaanza kuwasikiliza badala ya kuendelea kula na kipofu bila kumgusa mkono!!! Kwavile walishatibuana, Chibu akasema okay, you're issue now will be handled na mwanasheria wangu manake sihitaji hata kuonana na wewe!!! Sheria inasema 70K kwa mwezi or probably less; Chibu akasema nitatoa 200K; above legal limit!!!
Hamisa na tamaa zake anataka 5M kwa mwezi! Milioni tano kwa mwezi huyo mtoto anakunywa maziwa ya almasi na dhahabu, au?! Au anavaa pampers zilizotengenezwa kwa madini?!!!
Mjini kuna wanawake kibao, tena wengine na status zao kuliko Hamisa lakini wamezaa na committed men na wanazitandika pesa za hao wanaume kimya kimya bila upande wa pili kufahamu!!!
Kinyume chake, Hamisa akadhani akiweka public atakuwa anamkomoa Zari na matokeo yake, hivi sasa anadhihirisha msemo kwamba, "mtaka yote kwa pupa, hukosa yote kwa pupa!" kwa sababu hakuna mahakama itakayokubali eti alipwe Sh 5/mwezi wala 2 Million!!!
In short, huyu demu ni mjinga kama sio mpumbavu!!! Na utakavyojua huyu demu ni mjinga ni pale anapodai amedhalilishwa na kutaka aombwe radhi wakati ni yeye ndie alikuwa anavujisha picha za chumbani!!!
Wakati mnapobeba mimba hua hamsemi mtahitaji kulipwa, uzae useme unataka kulipwa? Kwani kua na mtoto ni ulemavu? Au kua na mtoto ni ajira? Kwa hiyo alipwe 30,000 kama beki tatu ? Maana ndo mshahara wa beki tatu mlea mtoto.