tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Alishawahi kufanya kazi au ndio kusema anataka apate pesa ya kula yeye,mama yke plus watoto wke,laki 2 ndio halali yke kabisa,wadada wa mjini hawataki kufanya kazi wao msingi kiuno....ashukuru hata hiyo gari aliyopewa mana angeendelea kupanda bajaji tu.kizazi cha wahongaji kimepungua sana watu wana nidhamu na pesa zaoTimu Dai embu fikirieni,
hii hela inaweza ku cover vitu basic vya mtoto tu,
haitoshi,kumpa na mama yake matunzo,
yes,na yeye alipwe,
Muda anaoshinda na mtoto,angeweza kwenda kazini au kwenye shughuli nyingine za kimaendeleo...........
hii sheria itazamwe upya.....
Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app