Swali ni: Kwanini unadhani ni baba ndie mwenye wajibu wa kutoa gharama za mtoto na sio mama?!wewe nae,
baba anafanya kazi full time,
mama analea full time,
nani anapaswa kutoa hela hapo?
ofcourse ikiwa vice versa,mama atalipa then baba atalea,
wenzetu baba kulea sio jambo la kutisha,Mwambie DAI wako amchukue mwanae akalee,Hamisa aende kutafuta chapaa zake...............
Na huyo mama anayelea mtoto full time ni mama wa aina gani?! Kama ni mwajiriwa, ina maana wakati wa kulea huwa haendi kazini? Kama ni mfanyabiashara ina maana wakati wa kule huwa anafunga biashara? Kama ni mkulima ina maana wakati wa kule shamba na yeye inakuwa ndo basi tena?