Sawa, tufanye mimi ni mbishi. Nitajie nchi moja tu ambayo mama analipwa "mother support" manake hiyo haiwezi kuwa "Child Support". Nitajie tafadhali!!!!mmmnh............................
eti mama atafute kazi ya kufanya,
hivi u know kulea kulivyo demanding????
kisha WOTE mkifanya kazi ,mtoto atamlea nani???
wewe sio tu huelewi,bali na ubishi juuu.....
Sawa Tina; yaani unachosema ni kwamba, assume 5% ya Diamond ni 10 Million, na 5% ya Hamisa ni laki 2; basi kila mwezi zitolewe 10,200,000 kwa ajili ya child support hata kama gharama halisi za matunzo ni Sh. 500,000?! Hiki ndicho unachosema?nikisema percentage namaanisha kama sheriav itaweka 5% kwa kila mtu,then yule mwenye kipato letsay laki moja,atalipa 5,000 na wale akina DAI watalipa Zaidi,kwa kutumia hio 5%.......
Nakubali! Je, mwanamke huwa anaacha kazi bila kushauriana na mwenzake ili eti awe analipwa na mwenza wake; au?!hio Dunia unayosema wewe watu wanaaacha kazi,tena sana tu na kulea,unless una hela ya kuwapa nannies.............
Huu tunaita ujanja wa mbuni kuficha kichwa kwenye udongo wakati mwili wote upo nje!!! You and I both know mtoto mdogo ni lazima akae na mama yake na kwahiyo atakayelipa ni baba!sikumaanisha baban hapo niliposema mmoja wao alee mwingine atafute pesa,unanisingizia bure,kiukweli nishawahi kuwaona wababa wanakaa na watoto full time,,,,,,
Nice try Tina lakini 5M haiwezi kutoka kirahisi hivyo manake ulichofanya ni kutaja taja vitu tu hadi vingine unarudia mara mbili!BREAKDOWN, Maziwa, pampers, wipes, baby shampoo, baby soap, baby oil, nguo, viatu, antbacteria handwash, hair (brazilliani)!, facial, kuosha miguu, kutengeneza kucha, nguo, viatu, BANDO LA KUCHAT
Smartphone je? Nahisi umesahau! Umesahau hadi gharama za kumlipa atayendesha Instagram Account yake and in fact, itabidi afunguliwe na akaunti za Twitter, Facebook, JF, Badoo, Snapchat, Pinterest, Match.com na zingine kedekede! 5 Million haiwezi kutoka bila energy!