Diamond Platnumz aburuzwa Mahakama ya watoto na Hamisa Mobetto!

Diamond Platnumz aburuzwa Mahakama ya watoto na Hamisa Mobetto!

Waeleze mkuu, kuanza kuweka masharti kwamba yatakiwa hiki au kile hakuna, swala ni lishe, elimu na malazi...Hamisa hataamini yatakayomkuta, siyo kirahisi kama afikiriavyo, mwanaume watakiwa kuchangia kila wiki au mwezi, kusomesha, mwanamke akishindwa kaa na mtoto anapelekwa kwa baba..
Ila kama Hamisa atategemea avae dhahabu kwa hela ya maziwa anayoletewa asahau kabisa..!
Tena unafikiri suala la elimu lipo sehemu ya matunzo ya mtoto basi!!

Sheria inasema elimu ni jukumu la wazazi wote wawili kwahiyo haliingii kwenye child support. Child Support ni kwa ajili ya ku-support the basic living requirements of a child
 
Hamisa kaitolewa wapi hiyo LLB? Ni Form IV leaver yule tena Tandika Secondary!
Si nilisikia Hamisa ana LLB (Lower Second) ya University of Dar es Salaam School of Law hapo alipo anasubiri kwenda Law School. DOMO ulitoka wapi na huyo dada mwanasheria msomi? Na wewe mengine unajitafutiaga balaa mwenyewe
 
Hizi taarifa sio hata za kuandika. Watoto wa kike wa siku hizi humu vyuoni nao wameanza kujenga haya mawazo kuwa apate mtoto na mwanaume mwenye pesa kisha ataishi akimtunza kwa kutegemea child support toka kwa huyu mwanaume ambaye mara nyingi huwa ni mume wa mtu au mwanaume asiye na mpango wa kuoa.

Watoto wanatumika kama life assurance card ya kujipatia pesa za kujisapoti maisha.

Majanamke ya sampuli hii , yanatia aibu kizazi cha wanawake. Ujinga ujinga tu hapo.

Naona ni trend inayoanza kukua sana.

So guys hebu kuweni serious na maisha, tafuta mwanamke ambaye mnaendana na mtaweza fanya life seriously na sio kiubabaishaji.

Tafuta mwanamke anayejielewa halafu acheni kucheza na hawa wanawake wasio na mbele wala nyuma na maisha yao. Na kwann unalala na mtu wa aina hii bila protection. Why suiweke kinga. Kwann uruhusu sampuli kama hii awe mother wa watoto wako?!

Hebu guys kuweni serious. Tumuaibishe shetani. Tukiwa serious na maisha ya familia am telling u wanawake sampuli ya Hamisa Mobeto( shame on her) watarudi kuzimu walipotoka. Ni aibu kubwa sana kwa mwanamke kuwa proud kulala na wanaume na kupata nao watoto as if ni mila na desturi zetu waafrica. Shame on her na wengineo.
 
nimeipata!

kumbe anaweza kupewa kila kitu,

ila mtoto akifikisha 18 years old,anaweza kuclaim back alivyotoa,

basi na hii uispin,lol

sijui credibility ya hii site,ila naona imeeleza vizuri Schedule 1 https://vardags.com/family-law/guide-to-child-maintenance-for-unmarried-parents/
Yah, lakini usisahau hizo ni sheria za UK na kama tulivyosema, kwa Sweden up to 21 years provided mtoto bado yupo shule! Kuhusu hiyo Vardags, inaonekana ni credible source lakini application yake itakuwa tofauti kati ya wanandoa (au hata mahawala) waliokuwa wanaishi pamoja na wakaachana na wazazi ambao walikutana tu, kila mmoja na kwake halafu wakazaa!!!
 
Mara nyingi hela zinazo toka kwa ajiri ya kumlea mtoto huwa hazitumuki kwa kumlea mtoto zinakuwa kwa ajiri ya mama
Hapo mama anapigania maslahi yake binafsi na si ya mtoto.

Akikutana na akili mbovu ataambiwa sijakataa nitanunua vyakula vyote vya mtoto vinavyohitajika na mahitaji yote yanayohitajika ikiwemi nguo,vitu,diapers na vinginevyo na gas nitakujazia ili kumchemshia maji ila sikupi hata sent hahahahaaa nawaza tu kwa sauti
 
Ila Zari aonyeshe ukomavu wa akili AMSAMEHE Diamond ili aendelee kutafuna Hela yake taratiibu. Mbona Hillary Clinton alitulizana baada ya Mzee kupiga mkojo kwa Monica Lewinsky?
 
Hapo kwenye RED, hadi sasa ingekuwa amevuna hata 50M tangu mtoto azaliwe na hapo kwenye BLUE, ni kiherehere chake tu Hamisa manake, kama shida ilikuwa ni kutaka ifahamike ni mtoto wa Diamond, wala isingechukua muda mrefu bila kufahamika! Lakini ingefahamika wakati bado wapo kwenye maelewano mazuri na kwahiyo angeendelea kutandika mafao!!!
Kabisaaaa,yaani huyu mtoto kachezea shilingi chooni kwa sifa zake za kipumbavu.

Yaani hadi sasa angeweza hata kumiliki biashara yake binafsi na akaendelea na maisha yake bila shida. Kwa sasa anachodai si matunzo Bali anaonyesha ni kiasi gani hawezi kujitafutia kipato zaidi ya kutegemea papuchi.
 
Si nilisikia Hamisa ana LLB (Lower Second) ya University of Dar es Salaam School of Law hapo alipo anasubiri kwenda Law School. DOMO ulitoka wapi na huyo dada mwanasheria msomi? Na wewe mengine unajitafutiaga balaa mwenyewe
Hahahaa!!! Yaani Hamisa huyu huyu anayejaza mipicha ya 40 ya mwanae Instagram halafu asijaze mipicha ya joho la yunivasiti!!! Au wanasema amegraduate mwaka huu ingawaje hana picha hata moja alivyopiga kwenye viunga vya Mlimani!!!!
 
Yah, lakini usisahau hizo ni sheria za UK na kama tulivyosema, kwa Sweden up to 21 years provided mtoto bado yupo shule! Kuhusu hiyo Vardags, inaonekana ni credible source lakini application yake itakuwa tofauti kati ya wanandoa (au hata mahawala) waliokuwa wanaishi pamoja na wakaachana na wazazi ambao walikutana tu, kila mmoja na kwake halafu wakazaa!!!

mmmmnh wewe si ulisema hakuna nchi inayotoa maintenance kwa mama ,ndio nimekuwekea sasa..................

hio site niliyokupa,niliigoogle kwa watu unmarried,so kwangu ndio kama hawa DAI na mwenzie wanafit kwenye hio category,kama waliwahi kuishi pamoja,then kama kipindi ni kirefu,ingekua Divorce,ambayo nayo ipo,inaitwa spousal maintenance .......
 
Tena unafikiri suala la elimu lipo sehemu ya matunzo ya mtoto basi!! Sheria inasema elimu ni jukumu la wazazi wote wawili kwahiyo haliingii kwenye child support. Child Support ni kwa ajili ya ku-support the basic living requirements of a child
Na wanaolengesha waelewe hivyo! Wasifikiri kulengesha ni kete au kutoka kimaisha...
 
Kabisaaaa,yaani huyu mtoto kachezea shilingi chooni kwa sifa zake za kipumbavu.

Yaani hadi sasa angeweza hata kumiliki biashara yake binafsi na akaendelea na maisha yake bila shida. Kwa sasa anachodai si matunzo Bali anaonyesha ni kiasi gani hawezi kujitafutia kipato zaidi ya kutegemea papuchi.
Halafu alivyo mtu wa ajabu
-Mama yake Hamisa alikuwa anafahamu kwamba mtoto ni wa Diamond
-Ndugu zake walikuwa pia wanafahamu
-Mama yake Diamond alikuwa anafahamu kwamba mimba ya Hamisa ni ya Diamond
-Ndugu wa karibu wa Diamond walikuwa wanafahamu kwamba wanatarajia mtoto toka kwa Hamisa

Lakini yooooooote hayo hakaona hayatoshi lakini lazima Instagram nao wafahamu!!! Sasa hiyo akili au matope!!!! Yaani ni kama wanawake wa Uswahilini; mnakubaliana kabisa kwamba kwavile una familia basi tufanye siri na yeye anakubali! Akitoka hapo, anaenda Kitumbini kununua vitenge na kanga za mafumbo kisha anavaa na kupita kila wakati mbele ya mke halali wa mwanaume aliyempa mimba ili mradi tu kumuonesha kwamba hayupo peke yake!!!!
 
Hahahaa!!! Yaani Hamisa huyu huyu anayejaza mipicha ya 40 ya mwanae Instagram halafu asijaze mipicha ya joho la yunivasiti!!! Au wanasema amegraduate mwaka huu ingawaje hana picha hata moja alivyopiga kwenye viunga vya Mlimani!!!!
Huyu dada angesoma hivyo wasemavyo sidhani kama angekurupuka kuzaa na wanaume hovyo hovyo au kuonyesha micharuko yake, waliosoma kihivyo wangesema asante kwa mtoto na kutunza, baba akileta hewala..
 
Na wanaolengesha waelewe hivyo! Wasifikiri kulengesha ni kete au kutoka kimaisha...
Mwisho wa hili sakata utatoa funzo sana! Kuna wengine maju'ha! Wakisikia Eddy Murphy nalipa thousands of dollars for child support wala hawaangalii mazingira yapo vipi na hivyo wanadhani hata huku utapewa mamilioni!!!!

Kuna mtu katoa mfano mzuri sana! Kama wanadhani child support ni deal kiasi hicho basi Faiza Ally hivi sasa angekuwa milionea!!! Tena kwa Faiza Ally angekuwa na uwezekano mkubwa zaidi kwa sababu alikuwa anaishi pamoja na Sugu!!!
 
Huyu dada angesoma hivyo wasemavyo sidhani kama angekurupuka kuzaa na wanaume hovyo hovyo au kuonyesha micharuko yake, waliosoma kihivyo wangesema asante kwa mtoto na kutunza, baba akileta hewala..
INgekuwa amesoma, hivi sasa ingekuwa anazitafuna pesa za Diamond kimya kimya; bila mayowe sana sana ingekuwa anasubiri mtoto afike japo miaka miwili akachukue LLM manake mlipaji yupo!!!
 
Mwisho wa hili sakata utatoa funzo sana! Kuna wengine maju'ha! Wakisikia Eddy Murphy nalipa thousands of dollars for child support wala hawaangalii mazingira yapo vipi na hivyo wanadhani hata huku utapewa mamilioni!!!!Kuna mtu katoa mfano mzuri sana! Kama wanadhani child support ni deal kiasi hicho basi Faiza Ally hivi sasa angekuwa milionea!!! Tena kwa Faiza Ally angekuwa na uwezekano mkubwa zaidi kwa sababu alikuwa anaishi pamoja na Sugu!!!
Sawa kabisa, tatizo ni uvivu wa kufikiri, kupenda ubwete na kufikiria kuzaa na mtu ni deal, wasahau kabisa, kisheria huyu dada ataumia kuliko angekuwa mpole, sasa kayaweka hewani na kisheria angalia itakavyo kula kwake, yeye Diamond apate tu mwanasheria mzuri na mjuzi wa haya mambo..
 
Back
Top Bottom