Diamond Platnumz aburuzwa Mahakama ya watoto na Hamisa Mobetto!

Diamond Platnumz aburuzwa Mahakama ya watoto na Hamisa Mobetto!

Kwa nini unasema Hamisa hawezi kuwa full time mother???

once ukishazaa every woman knows her responsibilities unless she is mentally ill,
Fine, kama anataka kuwa full time mother anaruhusiwa na kwa mujibu wa sheria, tutatumia sheria ya maternity leave ambayo ni miezi 3!!!

Haiwezekani atake kuwa full time mother kwa zaidi ya miaka 18 au hata 3 kwa sababu tu aliezaa nae ana uwezo na hivyo alipwe!! Hivi sheria ingekuwa ndo hivyo kuna mtu ambae angeajiri mwanamke?!

Mwambieni kama hana kazi basi atafute kazi manake hata huko Scandinavia ambako wanawake wanalindwa sana nako hakuna sheria kama hiyo hiyo!!!

yule aliezaa apewe SUPPORT,YES KWAKE NA MTOTO,

kama ni rahisi,mwambie /mmeo/mkeo leo nakaa na watoto wewe nenda kazini,

halafu tuone utafit vipi kwenye hio role

any work should have rewards,

Hamisa deserve it
Atalipwa laki 2 kwa mwezi! Anayelipwa sio yeye bali ni pesa za matunzo ya mtoto! Hamisa isn't a surrogate mother anayepaswa kulipwa kwa sababu hiyo!

Kama hana kazi, mwambieni atafute kazi ya kujikimu lakini asitumie mtoto kama kitega uchumi!

NOTE: Naomba ile breakdown ya 5M kwa mwezi manake naona kama unajisahaulisha hivi!!!
 
Kumtetea mwanaume mwenzetu? I feel sorry for Hamisa kwa sababu angeweza kunufaika zaidi kama angefanya mambo kimya kimya kuliko hivi sasa!!!

Hapo juu nimeweka screenshot ya Hamisa akikiri kupewa 70K daily! Na hizo 70K ni zile ambazo zilikuwa zinatolewa regularly achilia mbali zile za hapa na pale!!

Now tell me, hivi ni mwanamke gani asiyetosheka na 70K kwa siku? Tena hapo mtoto alikuwa hajazaliwa!!!

Kwamba eti matunzo ya mtoto yawe percentage earnings ni jambo ambalo haliwezekani hata kidogo manake itaonesha wazi kwamba wanawake wanataka kuzaa watoto na wenye pesa ili kuwageuza mradi kwao!!!! Haiwezekani kama naingiza kwa mwezi 100 billion basi matunzo nilipe say, 100 Million kwa mwezi!!!!!! Huo utakuwa ni wizi uliovuka mipaka ambao haupo popote pale duniani!

Issue hapa gharama halisi za mtoto ni zipi depending on the status!!!

Kwa post yako hiyo unaonesha wewe ni KE! Haya weka hapa breakdown ya 5M achilia mbali hayo mambo ya kuangalia Chibu anaingiza ngapi!!

Tell me, atakuwa anabadilishwa pampers kila baada ya dakika moja?! Maziwa yake yatakuwa na special ingredients ambazo atatatengenezewa yeye tu toka kiwandani moja kwa moja: special order? Au maji yake ya kuoga yatakuwa yanaletwa na ndege kutoka Dubai?!

hahaaaaaaa kukuelewesha kazi kweli,lol

hizo percentage earnings,nilikua nazungumzia kwa yule ambaye yuko kazini na mwenzie analea,sasa hii inawezekana ikawa baba au mama,mmoja wao atachukua jukumu la kulea mwingine gharama za matunzo,so hoja yako wanawake wataonekana hivi au vile haina mashiko,besides hii system iliyopo haiko fair sababu 70,000 kwa wengine ni hela ya ice cream,wakati wengine kuipata ni ishu,

yes mimi ni KE,hio 5mln,sio ya mtoto peke yake bali na mama yake,na nina uhakika HIO 5MLN KWA DAI ni kama 70,000,

kutokana na posts zako,inaelekea una mke wa miaka mingi,una pesa ila mkeo anavaa vitu low quality,lol
 
Fine, kama anataka kuwa full time mother anaruhusiwa na kwa mujibu wa sheria, tutatumia sheria ya maternity leave ambayo ni miezi 3!!!

Haiwezekani atake kuwa full time mother kwa zaidi ya miaka 18 au hata 3 kwa sababu tu aliezaa nae ana uwezo na hivyo alipwe!! Hivi sheria ingekuwa ndo hivyo kuna mtu ambae angeajiri mwanamke?!

Mwambieni kama hana kazi basi atafute kazi manake hata huko Scandinavia ambako wanawake wanalindwa sana nako hakuna sheria kama hiyo hiyo!!!

Atalipwa laki 2 kwa mwezi! Anayelipwa sio yeye bali ni pesa za matunzo ya mtoto! Hamisa isn't a surrogate mother anayepaswa kulipwa kwa sababu hiyo!

Kama hana kazi, mwambieni atafute kazi ya kujikimu lakini asitumie mtoto kama kitega uchumi!

NOTE: Naomba ile breakdown ya 5M kwa mwezi manake naona kama unajisahaulisha hivi!!!

hio system ilishawahi kuwepo,

kumlipa child support mpaka mtoto anafikisha18 na kuanza kujitegemea,

kitega uchumi or not,MOND should have acted better,

tuambie hayo ya scandnavia yakoje???

hatuelewani breakdown ya 5mln kwa MAMA+MTOTO,infact haitoshi
 
hahaaaaaaa kukuelewesha kazi kweli,lol

hizo percentage earnings,nilikua nazungumzia kwa yule ambaye yuko kazini na mwenzie analea,sasa hii inawezekana ikawa baba au mama,mmoja wao atachukua jukumu la kulea mwingine gharama za matunzo,so hoja yako wanawake wataonekana hivi au vile haina mashiko,besides hii system iliyopo haiko fair sababu 70,000 kwa wengine ni hela ya ice cream,wakati wengine kuipata ni ishu,

yes mimi ni KE,hio 5mln,sio ya mtoto peke yake bali na mama yake,na nina uhakika HIO 5MLN KWA DAI ni kama 70,000,

kutokana na posts zako,inaelekea una mke wa miaka mingi,una pesa ila mkeo anavaa vitu low quality,lol
Sio kunielewesha ni ngumu bali unashindwa kuelewesha kitu ambacho hakiwezekani!!!!

Wewe unachotaka mtoto awe mtaji wa mama na ndio maana umefikia kusema full time mother! Yaani mwanamke ushinde nyumbani kulea mtoto miaka nenda rudi; kisa?!

Na unaposema 70K kwa wengine ni pesa ya juice unarudi kule kule kwamba, sio itolewe pesa kulingana na gharama halisi za matunzo bali zitolewe pesa hata mara milioni moja ya gharama halisi kwa sababu tu baba ana uwezo!!!!!

Hilo suala la kwamba hizo pesa atoe baba au mama ni janja yako tu lakini unachomaanisha ni baba kwa sababu ndio wanaokuwa katika mazingira ya kulipa child support kwa sababu, sheria inataka mtoto akae na mama yake na kwahiyo ni baba ndie awe analipa hizo pesa!!!

Kwamba hiyo 5M iwe ni kwa mtoto na mama; HAIWEZEKANI! Mama atafute kazi ya kufanya na sio kugeuza mtoto ndie kazi yake! Duniani kote hakuna ambako mwanamke anaacha kazi kabisa kwa ajili ya kulea na akifanya hivyo, atafanya kwa mapenzi yake na asimdai yeyote chochote!!!!

Kwamba nina mke, oh! Sina mke na kama wanawake wenyewe ni aina ya Hamisa wanaotaka kugeuza wanaume mitaji; katu haitatokea niwe na mke!!!!

Tina, acha ujanja ujanja bhana, my breakdown please!!
 
nanunukuu "mi naweza mlea mwanangu kwa hali yeyote ile, sitamtegemea mtu" Hamissa Mobeto,
kumbe ilikua ni fix tu, kweli njaa haina mbabe!!

NJAA MBAYA ASIKWAMBIE MTU......!!!!!
 
hio system ilishawahi kuwepo,

kumlipa child support mpaka mtoto anafikisha18 na kuanza kujitegemea,

kitega uchumi or not,MOND should have acted better,

tuambie hayo ya scandnavia yakoje???

hatuelewani breakdown ya 5mln kwa MAMA+MTOTO,infact haitoshi
mkuu unadharau kinoma, embu nambie mshahara wako unalipwa tsh ngapi kama umeajiliwa au kama hujaajiliwa tuambie kipato chako kwa mwezi ni Tsh ngapi!!!
acha maisha ya kwenye moviee aseee.... 5mill ni haitoshi????? a u siriaz????
 
sheria kandamizi,i hope ili litafungua mjadala wa ku review hio sheria ,waweke percentage Fulani ya anacho earn mzazi,kuweka 70,000 kwa kila mtu is unrealistic,kuna mwingine atastruggle kuipata hio 70,000 ,wakati wanaojiweza hio 70,000 ni hela ya kununua ice cream.
Unapoita sheria kandamizi pia uzingatie kutambua kima cha chini kiserikali ni kiasi gani...

Sheria huwa zinategemeana bi mkubwa, hawawezi wakaweka kiwango kikubwa kisicholingana na maskini kabisa kiserikali anapokea kiasi gani...

Hako kadada kama kanadhani kuna kitu kataambulia basi si zaidi ya kiwango kinachokubalika kisheria, la hasha Dayadomo anaweza akaipindua kesi na ku-demand apewe mtoto amtunze mwenyewe kwa kuwa anao uwezo kimapato...
 
Sio kunielewesha ni ngumu bali unashindwa kuelewesha kitu ambacho hakiwezekani!!!!

Wewe unachotaka mtoto awe mtaji wa mama na ndio maana umefikia kusema full time mother! Yaani mwanamke ushinde nyumbani kulea mtoto miaka nenda rudi; kisa?!

Na unaposema 70K kwa wengine ni pesa ya juice unarudi kule kule kwamba, sio itolewe pesa kulingana na gharama halisi za matunzo bali zitolewe pesa hata mara milioni moja ya gharama halisi kwa sababu tu baba ana uwezo!!!!!

Hilo suala la kwamba hizo pesa atoe baba au mama ni janja yako tu lakini unachomaanisha ni baba kwa sababu ndio wanaokuwa katika mazingira ya kulipa child support kwa sababu, sheria inataka mtoto akae na mama yake na kwahiyo ni baba ndie awe analipa hizo pesa!!!

Kwamba hiyo 5M iwe ni kwa mtoto na mama; HAIWEZEKANI! Mama atafute kazi ya kufanya na sio kugeuza mtoto ndie kazi yake! Duniani kote hakuna ambako mwanamke anaacha kazi kabisa kwa ajili ya kulea na akifanya hivyo, atafanya kwa mapenzi yake na asimdai yeyote chochote!!!!

Kwamba nina mke, oh! Sina mke na kama wanawake wenyewe ni aina ya Hamisa wanaotaka kugeuza wanaume mitaji; katu haitatokea niwe na mke!!!!

Tina, acha ujanja ujanja bhana, my breakdown please!!

mmmnh............................

eti mama atafute kazi ya kufanya,

hivi u know kulea kulivyo demanding????

kisha WOTE mkifanya kazi ,mtoto atamlea nani???

wewe sio tu huelewi,bali na ubishi juuu.....

nikisema percentage namaanisha kama sheriav itaweka 5% kwa kila mtu,then yule mwenye kipato letsay laki moja,atalipa 5,000 na wale akina DAI watalipa Zaidi,kwa kutumia hio 5%.......

hio Dunia unayosema wewe watu wanaaacha kazi,tena sana tu na kulea,unless una hela ya kuwapa nannies.............

sikumaanisha baban hapo niliposema mmoja wao alee mwingine atafute pesa,unanisingizia bure,kiukweli nishawahi kuwaona wababa wanakaa na watoto full time,,,,,,

BREAKDOWN

Maziwa

pampers

wipes

baby shampoo

baby soap

baby oil

nguo

viatu

antbacteria handwash

hair (brazilliani)!

facial

kuosha miguu

kutengeneza kucha

nguo

viatu

BANDO LA KUCHAT
 
mkuu unadharau kinoma, embu nambie mshahara wako unalipwa tsh ngapi kama umeajiliwa au kama hujaajiliwa tuambie kipato chako kwa mwezi ni Tsh ngapi!!!
acha maisha ya kwenye moviee aseee.... 5mill ni haitoshi????? a u siriaz????

MKUU ungenijua usingesema hivyo,sina pesa hio lol
 
Sahivi tutakoma kwa kweli..Maana marekani wanawake wanaitumiaga watoto kama fursa wakipata mastaa na kisha kuzaa nao wameukata.
Diamond alikosa ustarabu kwenye kulizungumzia swala hili siku ile clouds akawa anamponda tu hamisa utadhani hamisa ndo alichukua manii zake kwa nguvu... na kama alimuhaidi kumuoa ndoa akome may be alikua anatongozea gia hio.. mambo ya marekani yameanza kutia maguu bongo sasa
 
hio system ilishawahi kuwepo,

kumlipa child support mpaka mtoto anafikisha18 na kuanza kujitegemea,

kitega uchumi or not,MOND should have acted better,

tuambie hayo ya scandnavia yakoje???

hatuelewani breakdown ya 5mln kwa MAMA+MTOTO,infact haitoshi
How better could he act zaidi ya kutoa 70K daily wakati wa ujauzito wake kabla hajarikoroga mwenyewe?!! Ashakum si matusi, nadhani unafahamu wadada wa mjini hawataki kuzaa kwa njia za kawaida na kisingizio chao hawataki uchungu!!! Lakini behind the scene, wasichotaka eti ni kuvichosha (soma kuvikuza) viungo vyao siri; kama sio laana tuite nini?! Mond akalipa 7M for ops!

Kuhusu Scandinavia, kwanza sheria zinambana Mwajiri. Kwa Norway kwa mfano, mama anaweza kuchukua likizo ya malipo (full paid) kwa karibu miezi 9.

Sasa tukitumia same idea, hiyo miezi 9 Hamisa anatakiwa kulipwa na Mwajiri wake! Lakini kama alikuwa anafanya kazi zake na labda tuangalie compensation, basi tufahamu alikuwa anaingiza kiasi gani kwa mwezi na kwa muda wa miezi 9 hatafanya hiyo kazi na atakuwa 100% committed kwa mtoto!!!!

Hiyo ni kwa ujumla wake lakini kwa child support, tuchukulie Sweden kwa mfano. Kiwango kinategemeana na gharama halisi za matunzo ya mtoto na uwezo wa wazazi wote wawili!!!

Which means, hata kama baba anaingiza bilioni 10 kwa mwezi, je gharama halisi za mtoto ni kiasi gani? Kama ni Kroner 1000 basi atalipa Kroner 1000.

In contrary, kama gharama halisi za mtoto ni Kroner ni 1000 lakini mzazi hana uwezo wa kulipa Kroner 1000, sheria haitamlazimisha kulipa Kroner 1000. In short, sheria yao haina tofauti na Tanzania ingawaje in case, 100% mtoto anaishi na mzazi mmoja kwa miaka yote, basi mzazi mwingine atalipa gharama up to 18 years or 21 years kama bado yupo shule!!!

But all in all, malipo yanayotolewa sio kwa ajili ya mama bali mtoto, which means, hata kama tungekuwa tunatumia sheria za Sweden, malipo yasingekuwa kwa Hamisa bali kwa ajili ya mtoto kutegemeana na gharama halisi za matunzo ya mtoto!!! Yeye Hamisa anatakiwa kufanya kazi!!!!
 
Wataalamu tusaidieni maana ya JUVENILE COURT.

Nielewavyo ni mahakama ya kuwakuhumu watoto au vijana wadogo.....
 
Ndio wanaume mjue kuna wanawake ni vidudu mtu..na mashetani....msikimbilie kimbilie tu kulala nao...wengine wana nuski na magundu...sasa huyi diamond ukicheche wake utamtokea puani...
Tembeen na watu wenye akili...
Hamisa akili hana..kazi hana..biashara hana...ana uchi tu
Hahahahahajahahajaha we mrembo mbona umeua hivi aisee, hahahahah
 
Ukiwa na hela usiombe kuzaa na mwanamke wa kiswahili , utakoma !
Hao wamekutana pipa na mfuniko, huyo mwanamke ana tabia typical kama za mama yake Diamond. Na hapo ndio mtaweza kuona ni kwa jinsi gani hata baba yake Diamond aliyelaumiwa sana bila kujua mzizi wa tatizo alikuwa na ujasiri wa kumkataa mkewe na mwanae.

Mwanamke mswahili havumiliki jamani, hasa alie na akili za kushikiwa kama huyo anaelilia mamilioni ya child support. Ukikosea kuoa ama ukazaa na mwanamke kizibo ni hasara tupu yani. ME wenzangu tuwe makini sana na haya maisha.
 
Huyu dada anaharibu future ya mwanae, in no way hii inaweza mtikisa diamond hasa kwa kuwa sheria imeweka kiasi kidogo cha pesa anachopaswa kutoa mzazi kwa malezi kwa mwezi...embu jiulize huyu dada anawezaje kufungua kesi kwa eti kutopewa matunzo kwa miezi miwili..??
 
Huo muandiko wa huyo wakili kwa kweli ni haki kabisa kuwa wakili wa Hamisa Mobeto, haaaa! sio kwa hati chafu hivyo jamani..msweeee.
Sasa kutype hio page moja upya na kuprint si ni chini ya sh.mia tano ila mtu kaona achafue yani kiazi lawyer huyo
 
hio hela ya mawakili hawezi kutunza mtoto
Nafikiri target yake ni kuwalipa baada ya kumpukutisha Diamond.

Nasikitika sana kwa hili kwani wanaomshauri huyu binti sijui wanafikiria nini,hii issue ilitakiwa wakae wajadili na wapeane kulingana makubaliano yao.

Kibongobongo issue za child support si kama kwa wenzetu. Issue nyingi kama hizi zinamalizika ustawi wa jamii na inategemea baba atasema yeye anapata kiasi gani.

Misa hajatumia akili kwani Mondi anaweza kudai yeye yuko managed tu na analipwa mshahara wa kiasi Fulani hivyo akajikuta anapata kile asichotarajia na mawakili kashawaweka
 
Back
Top Bottom