Nlisoma kwenye karatasi aliyoandika ile mistar aliyomshirikisha Jayz...we jamaa sijui unafukiria nini au unaugomvi na chid
basi poreee maMy dear usiwe unatafuta bifu kwa watu wapole kama emmyta. Alichoandika na ulichomjibu ni vitu viwili tofauti
Na mama anaweza kujibu pia baba ni changu dowa wa kiume na madale ni Guest house ya kufanyia uzinzi wake na Diamond hana mke wa kuangalia na kumtunza mtoto wa huyo changu mwenzake.
Tatizo la misukule ya Diamonds mnaingiza ushabiki maandazi kwenye vitu visivyohitaji ushabiki.
Mkumbuke na yeye ana mtoto wa kike pia, karma is a bitch.