Diamond Platnumz aburuzwa Mahakama ya watoto na Hamisa Mobetto!

Diamond Platnumz aburuzwa Mahakama ya watoto na Hamisa Mobetto!

Watu wajinga husema Hamisa kaharibu ndoa ya Domo jaba na Zari.Ikumbukwe pia Domo jaba ameharibu ndoa ya Hamisa pia, Domo jaba ndiye chanzo na mwanamke hawezi kuolewa na wanaume wawili, pia Domo jaba ndiye aliyemtaka Hamisa na kwa sababu si kosa kuwa na wanawake wawili au wanne kwa Domo jaba hajavunja ndoa.Domo jaba kaharibu ndoa ya Hamisa ijayo lakini Hamisa hajaharibu ndoa ya Zari.Uislam hausemi umoja mwanamke unasema wingi wanawake.Pumbavu thana unaleta maringo Dar hadi kwa baba mkwe.
 
Hamisa mjanja anaona mbali! Mambo ya kuchezewachezewa kubebeshwa mimba kiboya apeleke Mbagalaaaa! Hapa matunzo lazima.... huu ndo mwiba ulomkaba koo mzee wa Almasi! Mtaniambia....
 
Na mama anaweza kujibu pia baba ni changu dowa wa kiume na madale ni Guest house ya kufanyia uzinzi wake na Diamond hana mke wa kuangalia na kumtunza mtoto wa huyo changu mwenzake.

Tatizo la misukule ya Diamonds mnaingiza ushabiki maandazi kwenye vitu visivyohitaji ushabiki.

Mkumbuke na yeye ana mtoto wa kike pia, karma is a bitch.


Mkuu mimi si shabiki wa Diamond na wala simfagilii ila nakumbia ukweli kwani mimi ni mwanasheria na ndiyo maana nilikuambia baba anaweza kuchukua kichanga chake because niliwahi kushinda kesi kama hii huko Mwanza kwa kigezo hicho nilichokuambia. Hata ukitaka, naweza kukutetea.
 
Back
Top Bottom