Ukiona hvyo hajawahi kutoa ht 100Inamana hata zile laki mbili hapewi tena? Au anaona hazitoshi?
Huyo aliyeandika hayo majina ana mwandiko kama wa chid benz....
biashara ya magendoWhat are u doing for living son?
Hivi unadhani hii ni kesi ya kisiasa au ya kibiashara?Diamond itabidi amchukue Albert Msando awe wakili wake...
Okay poaNimepitia thread karibia nying tuu naww ww ndo unaekoment firstly bila hata kua na wazo la maana[emoji23][emoji23][emoji23]
70000 iko kisheria kwenye matunzo ya mtoto,hata ukienda ustawi wa jamii utaambiwa hivyohivyoHawa watu hawaeleweki.Huyu Hamisa kutwa kujishaua mitandaoni,kwani si atulie jamani?Kashaharibu uhusiano ya Zari na Diamond naona kaona jamaa bado haeleweki kaamua kuja na hii.Diamond ana makosa ila huyu Hamisa inaonekana anafurahia kabisa kumuharibia Zari.Tatizo Majizzo anatakua anatoa mpunga wa kutosha akadhani Diamond itakuwa zaidi
Okay poa
Mwanasheria analipwa kwanza then ndio anaingia kaziniMawakili hawajapewa hata senti...wanasubiri washinde kesi wapokee chao!
Hizo case huwa hazina kichwa ustawi wa jamii bei elekezi ya matunzo ni 70000 hata ukiwa billioneaHII NDIO SHIDA YA KUZAA NA WASWAHILI WAHUNI WAHUNI ...ANAKUTEGEA ,, UNAMPA MIMBA .....SABABU AMESHAKUJUA .
BASI MRADI HUOOO.
nawasiwasi sana ,,kuna nguvu ipo nyuma inayomtumia huyu demu kisiasa....Ngoja nitampigia simu RC Wangu ,, amsaidie huyu Kijana .
Maana atapotea.
naona kama unataka KUNIPANGAAu umemind bro [emoji45]
Jamaa atoe matumizi ya mtoto achana na assumptionHaya ndiyo madhara ya kutojitambua kwa mademu wetu ama mastaa uchwara wa bongo. Hamisa alipewa offer ya gegedo tu pamoja na kudanganywa kwa kupewa gari mkweche, yeye akajiona ndiye mrithi wa Zari kumbe ni danganya toto tu. Sijawahi kuona changudoa kurithi mke wa ndoa hata siku moja labda tu itokee jamaa kurogwa na huyo changu.
naona kama unataka KUNIPANGA