Diamond Platnumz aburuzwa Mahakama ya watoto na Hamisa Mobetto!

Diamond Platnumz aburuzwa Mahakama ya watoto na Hamisa Mobetto!

1507218328903.png
haaaaa haaaaa madale guest house kaanza mapema!
 
Hamisa amuulize Wema maana analijua balaaa la Domo...

Domo hatoagi hata mia anapenda maku za bure kigezo kikiwa ni ndoa na haoi!

Alimnyonyolesha Wema upara na kumvalisha madera ili tu asinunue Mawigi ya malaki na vitopu vya Gucci
Kwani na Wema alizaa watoto wangapi mkuu?
 
Haya ndiyo madhara ya kutojitambua kwa mademu wetu ama mastaa uchwara wa bongo. Hamisa alipewa offer ya gegedo tu pamoja na kudanganywa kwa kupewa gari mkweche, yeye akajiona ndiye mrithi wa Zari kumbe ni danganya toto tu. Sijawahi kuona changudoa kurithi mke wa ndoa hata siku moja labda tu itokee jamaa kurogwa na huyo changu.
Diamond amefunga ndoa lini? Ukiishi na hawala hiyo wewe ndio unaita ndoa?
 
Yaani kamrahisishia diamond ya 70 elfu kwa mwezi,apo kesi ishaisha ,bora angemtafuta nyuma ya pazia wangeongea naamini yangeisha hata mgao ungeongezeka,lkn ndio ishakula kwake
 
Mwanasheria analipwa kwanza then ndio anaingia kazini
Take it from me.
Kesi yenye pesa za wazi kama hii wakili yeyote anaingia kazini malipo yatatoka humohumo, hao mawakili wengine ni wadogo zetu tena kesi kama ya Wema Sepetu anatetewa bure bila malipo mawakili wanatengeza CV zao
 
Hivi unadhani hii ni kesi ya kisiasa au ya kibiashara?

Dunia mzima demu akikupandisha mahakamani kwa issue ya child support labda uwe mchovu ndio salama yako.

Kama Diamond anawashauri wazuri na anawasikiliza hizi ni issue za kumaliza nje ya mahakama.

Tena kwa nchi kama Marekani ndio usiombe child support unakatwa juu kwa juu kwenye source zako inaenda kwa mama.

Shabikieni mambo mengine lakini siyo Child support muulizeni Le Mutuz kakimbia nini Marekani.
Upo sahihi sana kiongozi kuna mijitu haielewi kitu kazi kupayuka tu mondi kaingia choo cha kike
 
Hivi unadhani hii ni kesi ya kisiasa au ya kibiashara?

Dunia mzima demu akikupandisha mahakamani kwa issue ya child support labda uwe mchovu ndio salama yako.

Kama Diamond anawashauri wazuri na anawasikiliza hizi ni issue za kumaliza nje ya mahakama.

Tena kwa nchi kama Marekani ndio usiombe child support unakatwa juu kwa juu kwenye source zako inaenda kwa mama.

Shabikieni mambo mengine lakini siyo Child support muulizeni Le Mutuz kakimbia nini Marekani.
Mkuu lakini kibongo bongo itapotezewa hii kesi!
 
Back
Top Bottom