tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Mtoto mtamu huyo balaa raha zote ziko hapo halafu bei ni mfuko wko ukitaka hata aje na mama yke anakuja naeUkijiingiza kichwakichwa kwa malaya tena wa uswahilini huwezi kubaki salama,lazima mgawane faranga hizo
Kwani na Wema alizaa watoto wangapi mkuu?Hamisa amuulize Wema maana analijua balaaa la Domo...
Domo hatoagi hata mia anapenda maku za bure kigezo kikiwa ni ndoa na haoi!
Alimnyonyolesha Wema upara na kumvalisha madera ili tu asinunue Mawigi ya malaki na vitopu vya Gucci
Bush lawyer.Hapo hamna kesi matunzo ni 70000 tu kwa mwezi....case ya kuombwa radhi haipo mana yeye ndio anapaswa kumuomba radhi chibu kwa kutuma clip kumdhalalisha
Muulize faiza ustawi wa jamii aliambiwa bei gani ya matunzo,sheria ni buku 70 kwa mwezikumekucha,shuzi limempata mjambaji,lol
Umeipitia hiyo sheria vzr?Hamisa sasa hata ile laki tano ndio hutoiona....utaishia kupata 70,000 ya serikali tu........dhiki za familia usipeleke kwa familia nyingine mtaishia kuuza utu.
Inamaana hamisa angezaa na chid benz leo hii angeambulia hata ten kwa wiki kweli...?
Sasa mbona hata hizo 70000 hapeleki???Hapo hamna kesi matunzo ni 70000 tu kwa mwezi....case ya kuombwa radhi haipo mana yeye ndio anapaswa kumuomba radhi chibu kwa kutuma clip kumdhalalisha
Diamond amefunga ndoa lini? Ukiishi na hawala hiyo wewe ndio unaita ndoa?Haya ndiyo madhara ya kutojitambua kwa mademu wetu ama mastaa uchwara wa bongo. Hamisa alipewa offer ya gegedo tu pamoja na kudanganywa kwa kupewa gari mkweche, yeye akajiona ndiye mrithi wa Zari kumbe ni danganya toto tu. Sijawahi kuona changudoa kurithi mke wa ndoa hata siku moja labda tu itokee jamaa kurogwa na huyo changu.
Kweli...Ukiona hvyo hajawahi kutoa ht 100
Mkuu ustawi wa jamii hawaangalii mfuko wako mimi na ushahidi wa mtu wa karibu tena mwenye uwezo,alikua anatoa 70000 kila mwezi mpka mwanamke akaomba wayamalize wenyewe ili jamaa aongeze hata 150000....shida ya dada zetu wanafikiria kuvuna tuBush lawyer.
Hamisa anapitia kipindi kigumu sanaMi ht sijui nsemeje ila dah!
Ngoja aje limadolez amshauri alipe ya mwaka mzima 840,000Sasa mbona hata hizo 70000 hapeleki???
Kesi yenye pesa za wazi kama hii wakili yeyote anaingia kazini malipo yatatoka humohumo, hao mawakili wengine ni wadogo zetu tena kesi kama ya Wema Sepetu anatetewa bure bila malipo mawakili wanatengeza CV zaoMwanasheria analipwa kwanza then ndio anaingia kazini
Take it from me.
Upo sahihi sana kiongozi kuna mijitu haielewi kitu kazi kupayuka tu mondi kaingia choo cha kikeHivi unadhani hii ni kesi ya kisiasa au ya kibiashara?
Dunia mzima demu akikupandisha mahakamani kwa issue ya child support labda uwe mchovu ndio salama yako.
Kama Diamond anawashauri wazuri na anawasikiliza hizi ni issue za kumaliza nje ya mahakama.
Tena kwa nchi kama Marekani ndio usiombe child support unakatwa juu kwa juu kwenye source zako inaenda kwa mama.
Shabikieni mambo mengine lakini siyo Child support muulizeni Le Mutuz kakimbia nini Marekani.
Mkuu lakini kibongo bongo itapotezewa hii kesi!Hivi unadhani hii ni kesi ya kisiasa au ya kibiashara?
Dunia mzima demu akikupandisha mahakamani kwa issue ya child support labda uwe mchovu ndio salama yako.
Kama Diamond anawashauri wazuri na anawasikiliza hizi ni issue za kumaliza nje ya mahakama.
Tena kwa nchi kama Marekani ndio usiombe child support unakatwa juu kwa juu kwenye source zako inaenda kwa mama.
Shabikieni mambo mengine lakini siyo Child support muulizeni Le Mutuz kakimbia nini Marekani.