Diamond Platnumz aburuzwa Mahakama ya watoto na Hamisa Mobetto!

Muulize faiza ustawi wa jamii aliambiwa bei gani ya matunzo,sheria ni buku 70 kwa mwezi

wasimtumie mtoto kama chambo,anahitaji mapenzi yote baba na mama,Diamond una responsibility,ndio kiumbe kilishakuja duniani hivyoooo,uzire,unune,ubwatuke Instagram,at the end of the day,ka Abdul kapo hapooooooo kanachojua ni maziwa tu 😛😛😛😛 ungekua hutaki kuzaa ungetumia condom,umeenda kavu hayo ndo matokeo,usitake history ijirudie,baba yako hakuwa baba mwenye malezi kwako,mmepatana na wewe unataka kufanya the same thing kwa kabebi Abdul,ngoja awe messi wa Tanzania ndio uanze kujigonga kwake baadae,lol DAIMOND you should man up...............
 
Mwanasheria analipwa kwanza then ndio anaingia kazini
Take it from me.
Sio kweli...

Kuna mtu wangu wa karibu aliyafanya kama haya ya hamisa ila hakutoa hata senti!

Kesi iliisha na demu akashinda wakakatana juu kwa juu

Upoo nyonyooo?
 
Hiyo ajali kazini,huyo dada anawatoto wawili sasa sijui hiyo hela itatosha wote au,mana majey lazma amekata kamba ya matunzo au anatoa kiasi kidogo cha pesa

Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app
 
yeah of no women n this world will like to rise his or her child alone,ajifunze kua wanawake wengi kuwazalisha


Sasa hapa ujinga ni wa nani? Kuna wanawake wengine hawastahili huruma hata kidogo.....haka ka-Hamisa kalishazalishwa na bishoo fulani hapa mjini bado tu hajajifunza.....usikute kesho akaja kuzalishwa na bishoo mwingine tena au pengine kishashika mimba tayari anatafuta wa kumsingizia. Jiulize wewe mwenyewe, unaweza kuoa mwanamke kama Hamisa na kwa nini?
 
Yaani kamrahisishia diamond ya 70 elfu kwa mwezi,apo kesi ishaisha ,bora angemtafuta nyuma ya pazia wangeongea naamini yangeisha hata mgao ungeongezeka,lkn ndio ishakula kwake
Mbona siku hizo zote hapeleki hizo elfu 70 mpaka aburuzwe mahakamani??
 
Kwani na Wema alizaa watoto wangapi mkuu?
Wema hakuzaa ila alikuwa analiwa kijanja na anamhonga Domo akitegemea kuolewa

Butttt...si unajua uhusiano wao ulidumu dumu? Basi demu alichoka hataree kama unakumbuka akanyoa kipara, akawa anavaa na madera, so Hamisa angechukua ushauri from Wem( coz huyu alitangazaga kitaa kuwa Madale hatoi hata senti ya matumizi kwake)
 
Hamisa amuulize Wema maana analijua balaaa la Domo...

Domo hatoagi hata mia anapenda maku za bure kigezo kikiwa ni ndoa na haoi!

Alimnyonyolesha Wema upara na kumvalisha madera ili tu asinunue Mawigi ya malaki na vitopu vya Gucci
Kumbe chibu ana akili hivyo basi lazma awatumie wadangaji twn mana wao ni moet na selfie tu unapewa mzigo

Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app
 
Hiyo ajali kazini,huyo dada anawatoto wawili sasa sijui hiyo hela itatosha wote au,mana majey lazma amekata kamba ya matunzo au anatoa kiasi kidogo cha pesa

Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app

eti ajali kazini,ukiwa STAR lazima uchukue tahadhari sana,kila mwanamke atataka kusex na wewe,sasa ukiwa careless utalala nao wote??!!!
 
Muulizeni faiza alimshinda sugu kule ustawi wa jamii,au aliishia kupewa pesa mbuzi

Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app
Wewe unakariri ndio maana tunawaita watu kama wewe ni bush lawyer, issue ya Sugu iko wazi tatizo ni Faiza.

Sasa huyu Simba wenu wa Madale naye atasikilizwa tatizo liko wapi mahakama itatenda haki.

Ila kaa ukijuwa kesi hizi za Juvenile huwa hazina longolongo na mahakimu wanapangwaga wanawake.

Sasa usiombe back ground ya hakima huko nyuma naye aliumizwa na mwanaume ndio utajuwa vizuri kwamba hata muuza kahawa anamiliki chombo cha moto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…