joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani anafanya na live band?diamond will be performing live
ungemalizia lakini kwa msaada wa CD.
Tanzania hatuna msanii mwenye uwezo wa kufanya show live kama wenzetu
diamond will be performing live
ungemalizia lakini kwa msaada wa CD.
Tanzania hatuna msanii mwenye uwezo wa kufanya show live kama wenzetu
🤣🤣Ali Kiba ashaimba na R Kelly mnaongea CAF sijui Davido kitu gani? Huyu Diamond atasubiri sana mwaka huu.
Nakumbuka Kama sijasahau huyu diamond ameshaimba na rick rossAli Kiba ashaimba na R Kelly mnaongea CAF sijui Davido kitu gani? Huyu Diamond atasubiri sana mwaka huu.