joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
- Thread starter
- #41
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inasemekana 2018 alipiga show bab kubwa kule dressing room.Mliwahi sema atatumbuiza world cup 2018, sijui tufukue makaburi[emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mxiiiuuuu2014 King Kiba alisha perform mbele ya familia ya malkia Elizabeth ila aliomba wasitangaze kwny public.,hapendi kujionyesha tu.
Hata kwny kuapishwa kwa Trump alialikwa akatumbuize ila alikua bize na ile tour yake kule Tabora.
dodge
Mxiiiuuuu
Aaah tafadhali bana we.!!2014 King Kiba alisha perform mbele ya familia ya malkia Elizabeth ila aliomba wasitangaze kwny public.,hapendi kujionyesha tu.
Hata kwny kuapishwa kwa Trump alialikwa akatumbuize ila alikua bize na ile tour yake kule Tabora.
dodge
kumbe uko shambani huko af unadanganya watu wa mjini!.Mwanaume wa dar akifyonza.
Wanaume wa mkoani huku tukipalilia mashamba.
dodge
Tatizo hapo nyimbo zote mbili alizoimba sio za kwake kama yeye.