Diamond Platnumz achaguliwa kutumbuiza katika Tuzo za CAF na Tuzo za Kituo cha Nigeria Sound City

Diamond Platnumz achaguliwa kutumbuiza katika Tuzo za CAF na Tuzo za Kituo cha Nigeria Sound City

Nimeona Etoo aki-ignore handshake ya Simba, hapendi kushobokewa.

Kule YouTube ningekomenti hivi: “kama na wewe umeona hiyo gonga like tujuane”. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watu eti nyimbo sio zake,🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 utazani Diamond ndiye msanii wa kwanza kufanya hivyo.
Ila kinachonifurahisha hata haters nao waliangalia show.
 
2014 King Kiba alisha perform mbele ya familia ya malkia Elizabeth ila aliomba wasitangaze kwny public.,hapendi kujionyesha tu.

Hata kwny kuapishwa kwa Trump alialikwa akatumbuize ila alikua bize na ile tour yake kule Tabora.

dodge
😂🤣😂🙄ila kiukwel 90%humu ndani hatumpendi Kibamia sijui alisha tukosea nn sijui ni "wivu wetu tu" in gwaji voice 😂🤣😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee hadi koti la Michael Jackson tukaiga bado tukaimba nyimbo za watu kheee kheee kheee

Bahati nzuri tulifatilia tuzo sio music. Football kwanza mengine baadae
 
Si unaona eeh? Yaani wanajifanya kama Ali Kiba hawamjui. Kwanza wao na R. Kelly nani zaidi?
Sasa wewe kwa akili yako ukiimba na mbakaji watoto(R.KELLY) na anamakesi kibao tu yanamkabili ndo utegemee utachaguliwa kwenye kipengele kipi huyo Kiba.
 
Back
Top Bottom