ThanksWe kichwa maji kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ThanksWe kichwa maji kabisa
Ya kweli haya2014 King Kiba alisha perform mbele ya familia ya malkia Elizabeth ila aliomba wasitangaze kwny public.,hapendi kujionyesha tu.
Hata kwny kuapishwa kwa Trump alialikwa akatumbuize ila alikua bize na ile tour yake kule Tabora.
dodge
Hahaaa bro bhna2014 King Kiba alisha perform mbele ya familia ya malkia Elizabeth ila aliomba wasitangaze kwny public.,hapendi kujionyesha tu.
Hata kwny kuapishwa kwa Trump alialikwa akatumbuize ila alikua bize na ile tour yake kule Tabora.
dodge
Nimeona Etoo aki-ignore handshake ya Simba, hapendi kushobokewa.
Kule YouTube ningekomenti hivi: “kama na wewe umeona hiyo gonga like tujuane”. [emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo juu kwenye post kuna link ya YouTube, mwisho wa video kuna ‘shalauti’ kwa Etoo... ila ile ‘handshake’ kama inakuja halafu inakataa.
mkuu jamaa wanapendelea sana hawa 😝😝Waache upendeleo, next time wamwite na Ali Kiba au Konde boy
😂🤣😂🙄ila kiukwel 90%humu ndani hatumpendi Kibamia sijui alisha tukosea nn sijui ni "wivu wetu tu" in gwaji voice 😂🤣😂2014 King Kiba alisha perform mbele ya familia ya malkia Elizabeth ila aliomba wasitangaze kwny public.,hapendi kujionyesha tu.
Hata kwny kuapishwa kwa Trump alialikwa akatumbuize ila alikua bize na ile tour yake kule Tabora.
dodge
mkuu jamaa wanapendelea sana hawa 😝😝
🤣🤣🤣Si unaona eeh? Yaani wanajifanya kama Ali Kiba hawamjui. Kwanza wao na R. Kelly nani zaidi?
Sasa wewe kwa akili yako ukiimba na mbakaji watoto(R.KELLY) na anamakesi kibao tu yanamkabili ndo utegemee utachaguliwa kwenye kipengele kipi huyo Kiba.Si unaona eeh? Yaani wanajifanya kama Ali Kiba hawamjui. Kwanza wao na R. Kelly nani zaidi?