Diamond Platnumz afanya kufuru

Diamond Platnumz afanya kufuru

Imepita ile ya kandabongoman? naskia hadi moi akamfurusha kwa kukusanya nusu ya wakaazi wa Nairobi pale uhuru park?
 
Mhh show zenyewe za CD. Mziki ni live basi ndio utajuwa ukweli
 
Huu mchezo hauitaji hasira kuna wazee viraka wanashukuru uwepo wa mond lasivo bench linge wapelekea kula vumbi walikuwepo tangu miaka iyo leo hii wanajishindanisha na mnyama kavile upcoming artist kumbe mizee aibu kubwa sanaa bora kina nature, baiser hawataki kuvimba kichwa kukimbizana na mdogo wao na riziki zao wanapata
 
Back
Top Bottom