MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 28,064
- 31,401
We umeona niniUnakataa nn
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We umeona niniUnakataa nn
dah huyu diamond ni mkali dah sijui ana damu ya wapi huyu mwambaDiamond Platnumz ,Chibu dangote , Simba adhihirisha usimba wake kwa kufanya show kali sana ambayo haijawahi kutokea nchini kenya tangu ipate uhuru
View attachment 397965
View attachment 397966
View attachment 397967
Hajawahi kuiona ile ya kanda bongo man hadi mke wa rais alipagawa ilipigwa ndani ya uwanja wa taifa wa kenya miaka ya 90"Haijawahi kutokea nchini Kenya tangu ipate uhuru" serious?
Hili angalizo nimelipenda.Mkuu don't take it too serious! Wengine Wagonjwa humu!
show ya kitambo sana hii mkuu, umedanganywa
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mkuu don't take it too serious! Wengine Wagonjwa humu!
Aiseee I am in love na hiyo avatar yako.....sio kwa usafiri huo!! [emoji7] [emoji7] [emoji7]Bila uthibitisho siwezi kukuamini.Weka video tuone yasemwayo km ni kweli
Lakini una bundle la kutosha.kuweza kuicheza hiyo video .....???Bila uthibitisho siwezi kukuamini.Weka video tuone yasemwayo km ni kweli
Mkuu huyu si kosa lake, huenda wakati huo alikuwa bado anacheza kwenye beseni la maji.Imepita ile ya kandabongoman? naskia hadi moi akamfurusha kwa kukusanya nusu ya wakaazi wa Nairobi pale uhuru park?
Mkuu huyu si kosa lake, huenda wakati huo alikuwa bado anacheza kwenye beseni la maji.Imepita ile ya kandabongoman? naskia hadi moi akamfurusha kwa kukusanya nusu ya wakaazi wa Nairobi pale uhuru park?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ,aya mkuu nilikuwa nachezaMkuu huyu si kosa lake, huenda wakati huo alikuwa bado anacheza kwenye beseni la maji.