Diamond Platnumz afikisha 'followers' milioni 10 kwenye mtandao wa Instagram

Diamond Platnumz afikisha 'followers' milioni 10 kwenye mtandao wa Instagram

crankshaft

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2019
Posts
1,427
Reaction score
3,438
Msanii wa muziki Diamond Platnumz amefanikiwa kufikisha followers million 10 katika mtandao wa instagram.

Diamond ndiye mtu mwenye followers wengi zaidi katika mtandao huo Afrika mashariki na kati.

Ukiachana na Instagram, Diamond ndiye msanii mwenye wafuasi wengi zaidi katika mitandao mingine kama Facebook, Twitter na YouTube Africa mashariki

Mtangazaji wa Clouds FM Millard Ayo ndiye anaye mfuatia akiwa na wafuasi million 7.5 akikaribiwa kwa karibu na Wema Sepetu mwenye wafuasi million 7.3

Hata hivyo, aliyekuwa mzazi mwenzake wa Diamond, Zari the boss lady ndiye anaye mkaribia zaidi Afrika mashariki akiwa na wafuasi milioni 7.9 kwenye mtandao huo maarufu duniani
 
Kiba ana milion15 followers sema hana madhabiki wa hovyo kumsemea kwa kuwa tunajua king hana majivuno
 
Back
Top Bottom