Diamond Platnumz afikisha 'followers' milioni 10 kwenye mtandao wa Instagram

Je wajua August Alsina ana followers wachache kuliko Diamond lakini ni star zaidi ya Diamond. Hii imekaaje ?
 
Nilidhani ukiwa na followers wengi unakwenda Mbinguni kumbe hata Shetani anao followers wengi, agha!

by the way, anamzidi MAGU kwa followers
 
Kwani Mmakonde anasemaje kuhusu hilo?

Maana alishasema Sabuskraiba zinaua vipaji,je hao folowazi anasemaje?
 
Sasa bongo kupata followers ambapo kuna vilaza wengi si ni rahisi zaidi kuliko Marekani ambapo wanaojielewa ni wengi.
we unajua watanzania wangapi wanatumia instagram kulinganisha na Marekani???? angalia factor nyingine kama
Population,
Uwezo wa ku access smartphone n.k
 
Tanzania ya leo hata watoto wa Primary schools wanamiliki smartphone, je bado tunaweza sema wabongo hawana uwezo wa kumiliki hizo simu ?

On top of that vijana na watoto wengi ndio wapenzi wa hao watu hivyo lazima wawa follow
 
Pongezi ngoja nikaongeze na yangu tena, maana alkiba hataki watu tum follow
 
Tanzania ya leo hata watoto wa Primary schools wanamiliki smartphone, je bado tunaweza sema wabongo hawana uwezo wa kumiliki hizo simu ?

On top of that vijana na watoto wengi ndio wapenzi wa hao watu hivyo lazima wawa follow
Ndugu, huwezi ukakaa ukalinganisha entertainment industry ya Marekani na bongo hata siku moja.

Marekani wanafuatiliwa dunia nzima ila sisi bado sana.
Hivi unajua watumiaji wa instagram bongo wanaweza wasizidi million 10, ndio maana Millard Ayo page inayoongoza kwa kutoa habari Tanzania nzima bado hajapata followers million 10.
Popularity ya diamond ni East Afrika nzima ndo maana hata nyimbo zake zikitoka huwa zinakuwa namba moja in trend East Africa.
 
Harmonize kasema ku trend sio big deal
Cha muhimu tuzo[emoji31][emoji3][emoji31][emoji3]
 
Huwa siamini mambo ya followers... Nahisi ni followers hewa.
 
Back
Top Bottom