Diamond Platnumz afikisha 'followers' milioni 10 kwenye mtandao wa Instagram

Diamond Platnumz afikisha 'followers' milioni 10 kwenye mtandao wa Instagram

Ila kiuhalisia Alikiba anao zaidi ya milioni 10, ila hapendi kujionesha
 
Sasa bongo kupata followers ambapo kuna vilaza wengi si ni rahisi zaidi kuliko Marekani ambapo wanaojielewa ni wengi.

Sasa wewe ushafika Marekani? Au unaiona kwenye TV tu? Aliyekwambia Marekani hakuna vilaza nani?
 
Back
Top Bottom