Naomba unipinge kwa Hoja Mkuu, me sina chuki na Diamond ila naandika ukweli, na siendeshwi na hisia, kwani ukiwa sio hater maana yake Kila kitu ukubali tu?wewe kwa maelezo yako unaonekana ni hater tu na humkubali huyu kijana. Muda ni jibu tosha kwako, ngoja siku ziende utaelewa kuwa huyu kijana ni fighter
πImebidi ni log in ili tu nikupe like yako boss umetisha
iyo promotion gani unayozungumzia?,Asikudanganye mtu mkuu.
Hakuna msanii ambae hapendi kufanya promotion ya kazi zake, sema tu inahitaji budget ya maana kufanya hivyo kitu ambacho kimekuwa rahisi kwa Mond kwasababu ana platform nyingi za kufanya hivyo.
Diamond Platinumz katika ubora wake.Akihojiwa kwenye kipindi cha the Switch, Wasafi FM, alisikika akisema "huyo (yaani Ali Kiba) yupo kwenye game muda sana, mbona sasa hana media yake?"
Diamond akaendelea "mimi kunilinganisha na wasanii wa Tanzania ni kuwaonea hao wasanii, kwa maana hawaniwezi, sababu mimi kwanza nna talent najijua kabisa, nna pesa ya promotion, nnajua kucheza, kuvaa, kujulikana, kwanza nna media nnaweza kufanya siku nzima zinasikika kazi zangu tu, nna mashabiki wengi, nna numbers, views, kwa hapa Africa mimi ni msanii namba tatu kwa ubora, Africa nzima mimi ni namba tatu, google uone? sasa kua namba tatu utanilinganisha na hawa wasanii wenu ambao hawapo ata top 100?"
Diamond Platnumz "kunilinganisha mimi na hawa wasanii wenu ni kunikosea adabu mimi, mziki hadi watoto wangu, wasanii wenyewe mnaonishindanisha nao nnawazidi kila kitu kila kitu hadhi dhambi nawazidi, kwaio sio sawa ni kuidhalilisha nchi".
Hapo kwa Davido mtoe umweke MondHio namba tatu embu ngoja kwanza tui list tuone
1. Wizkid
2. Burna boy
3. Davido
Alaf tuwaache madogo ambao wamepiga shows o2 arena hadi Marekani na wamepiga kolabo kubwa na watu kama wakina ed sheeran na justine bieber madogo hao ni Joe Boy, Fire Boy na wapopo wengine wengine kibao wakina simi nani na nani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] looh hio top 3 nadhani ndo ile kitu wabongo wanasema "ametupiga na kitu kizito".
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah.Kwenye kuwazidi hadi dhambi nimemuelewa sana,Michael Jackson aliwahi kujitapa kuwa hakuna starehe hajawahi kufanya ikiwemo kuingiliwa nyuma.
We jamaa unaleta masihara 2face Idibiaππwabongo bhana , Mond tatizo hana exposure ya kusoma angalau hadi elimu ya juu hasingekuwa anaropoka watu wamgoogle anaonesha ujinga wake hajuo google ata wewe na mimi tunaweza andika kitu chochote cha ukweli au uhongo bila ya tafiti anatakiwa kutoa references zake yeye ni top 3 kwa tafiti gani zilizofanyika
Inatokana na genre unayosikiliza kaka kama ukisikiliza Hiphop( subgenres zote kuanzia Drill,Trap ni lazima ukutane na maneno hayo ila kumbuka kuna genres zaid ya 30 za muziki marekani ambazo hawatukani..msikilize Taylor swift kama mimi navyomsikiliza hapa then njoo na mrejesho ingawa hata mimi HipHop is my favorite genre lakini sometimes we have to change a mode sio kila saa matusi tuTukileta nyimbo 100 za kizazi kipya cha Marekani sidhani kama utatoa hata nyimbo 10 za kusikiliza na wazazi, maneno kama JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala, pussy , Ass yakitafasiriwa kwa kiswahili hao wazazi watakushangaa, ni vile tu hamuelewi Kiingereza mnasikiliza beat na melody.
Kama wewe unataka ujumbe, nimekushauri vizuri usikilize sana KWAYA na QASIDA.
Kwa bongo takwimu kama hizo ni kawaida mbona, juzi tu hapa zilitoka takwimu za timu yangu pendwa kwamba inashika nafasi ya 98 kwa ubora duniani, nilifurahi sn lkn baada ya akili kurudi nikaanza kupiga hesabu hizi[emoji116][emoji116]Hio namba tatu embu ngoja kwanza tui list tuone
1. Wizkid
2. Burna boy
3. Davido
Alaf tuwaache madogo ambao wamepiga shows o2 arena hadi Marekani na wamepiga kolabo kubwa na watu kama wakina ed sheeran na justine bieber madogo hao ni Joe Boy, Fire Boy na wapopo wengine wengine kibao wakina simi nani na nani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] looh hio top 3 nadhani ndo ile kitu wabongo wanasema "ametupiga na kitu kizito".
Kwa bongo takwimu kama hizo ni kawaida mbona, juzi tu hapa zilitoka takwimu za timu yangu pendwa kwamba inashika nafasi ya 98 kwa ubora duniani, nilifurahi sn lkn baada ya akili kurudi nikaanza kupiga hesabu hizi[emoji116][emoji116]Hio namba tatu embu ngoja kwanza tui list tuone
1. Wizkid
2. Burna boy
3. Davido
Alaf tuwaache madogo ambao wamepiga shows o2 arena hadi Marekani na wamepiga kolabo kubwa na watu kama wakina ed sheeran na justine bieber madogo hao ni Joe Boy, Fire Boy na wapopo wengine wengine kibao wakina simi nani na nani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] looh hio top 3 nadhani ndo ile kitu wabongo wanasema "ametupiga na kitu kizito".
Mkuu inabidi ucheke sana hapo kwenye Top 10Hahahah ila hapo kwenye Top 100 inabidi kwanza nicheke
Basi jifunze kwanza kuandika Kiswahili.
"Amepata tunzo kwa nyimbo moja"!Halafu ndiyo tuwalaumu walimu wao wa shule za msingi?ππππTUNZO=TUZO
Kubali kurekebishwa kenge wewe!Swahili sio business kwangu
Diamond hakusema hastaili bali alizungumzia fairness na transparency.Nick alizigomea BET na hata familia nzima ya cash money baada ya BET kutumia official page yao kumdhihaki Nick baada ya kushindwa na Cardi B katika Grammy Awards. Pia Grammy Awards zishawahi kuwa boycotted mara nyingi sababu ya kuonekana kama zina ubaguzi kwa black artists kutokana na process zake
Ila huwezi sikia Nick akisema sistahili kuwekwa kwenye category moja na wasanii wengine kwenye grammy.. NEVER