Diamond Platnumz ahoji kwanini Ali Kiba (mkongwe) hana media yake? Atoa onyo kushindanishwa na wasanii wa Tanzania 'ni wadogo sana kwake'

Diamond Platnumz ahoji kwanini Ali Kiba (mkongwe) hana media yake? Atoa onyo kushindanishwa na wasanii wa Tanzania 'ni wadogo sana kwake'

wewe kwa maelezo yako unaonekana ni hater tu na humkubali huyu kijana. Muda ni jibu tosha kwako, ngoja siku ziende utaelewa kuwa huyu kijana ni fighter
Naomba unipinge kwa Hoja Mkuu, me sina chuki na Diamond ila naandika ukweli, na siendeshwi na hisia, kwani ukiwa sio hater maana yake Kila kitu ukubali tu?
 
Asikudanganye mtu mkuu.

Hakuna msanii ambae hapendi kufanya promotion ya kazi zake, sema tu inahitaji budget ya maana kufanya hivyo kitu ambacho kimekuwa rahisi kwa Mond kwasababu ana platform nyingi za kufanya hivyo.
iyo promotion gani unayozungumzia?,
Je amepiga media tour ngapi na kwenye tv na radio zipi, amefanya shows au matamasha mangapi, ameenda sehemu au nchi ngapi kutangaza iyo EP mpaka useme amewekeza kufanya promotion ya kazi zake. Jaribu kutofautisha kutangaza kazi na kufanya stunts/kiki coz asilimia kubwa ni wanafanya kiki sio kutangaza
 
Akihojiwa kwenye kipindi cha the Switch, Wasafi FM, alisikika akisema "huyo (yaani Ali Kiba) yupo kwenye game muda sana, mbona sasa hana media yake?"

Diamond akaendelea "mimi kunilinganisha na wasanii wa Tanzania ni kuwaonea hao wasanii, kwa maana hawaniwezi, sababu mimi kwanza nna talent najijua kabisa, nna pesa ya promotion, nnajua kucheza, kuvaa, kujulikana, kwanza nna media nnaweza kufanya siku nzima zinasikika kazi zangu tu, nna mashabiki wengi, nna numbers, views, kwa hapa Africa mimi ni msanii namba tatu kwa ubora, Africa nzima mimi ni namba tatu, google uone? sasa kua namba tatu utanilinganisha na hawa wasanii wenu ambao hawapo ata top 100?"

Diamond Platnumz "kunilinganisha mimi na hawa wasanii wenu ni kunikosea adabu mimi, mziki hadi watoto wangu, wasanii wenyewe mnaonishindanisha nao nnawazidi kila kitu kila kitu hadhi dhambi nawazidi, kwaio sio sawa ni kuidhalilisha nchi".
Diamond Platinumz katika ubora wake.
 
Hio namba tatu embu ngoja kwanza tui list tuone

1. Wizkid
2. Burna boy
3. Davido

Alaf tuwaache madogo ambao wamepiga shows o2 arena hadi Marekani na wamepiga kolabo kubwa na watu kama wakina ed sheeran na justine bieber madogo hao ni Joe Boy, Fire Boy na wapopo wengine wengine kibao wakina simi nani na nani?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] looh hio top 3 nadhani ndo ile kitu wabongo wanasema "ametupiga na kitu kizito".
Hapo kwa Davido mtoe umweke Mond
 
We jamaa unaleta masihara 2face Idibia😀😀wabongo bhana , Mond tatizo hana exposure ya kusoma angalau hadi elimu ya juu hasingekuwa anaropoka watu wamgoogle anaonesha ujinga wake hajuo google ata wewe na mimi tunaweza andika kitu chochote cha ukweli au uhongo bila ya tafiti anatakiwa kutoa references zake yeye ni top 3 kwa tafiti gani zilizofanyika
 
Tukileta nyimbo 100 za kizazi kipya cha Marekani sidhani kama utatoa hata nyimbo 10 za kusikiliza na wazazi, maneno kama JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala, pussy , Ass yakitafasiriwa kwa kiswahili hao wazazi watakushangaa, ni vile tu hamuelewi Kiingereza mnasikiliza beat na melody.

Kama wewe unataka ujumbe, nimekushauri vizuri usikilize sana KWAYA na QASIDA.
Inatokana na genre unayosikiliza kaka kama ukisikiliza Hiphop( subgenres zote kuanzia Drill,Trap ni lazima ukutane na maneno hayo ila kumbuka kuna genres zaid ya 30 za muziki marekani ambazo hawatukani..msikilize Taylor swift kama mimi navyomsikiliza hapa then njoo na mrejesho ingawa hata mimi HipHop is my favorite genre lakini sometimes we have to change a mode sio kila saa matusi tu
20220315_222333.jpg
 
MONDI NI WA KUSHINDANISHWA NA KINA WIZKID, HAO MAPOPOMA WENGINE WATASHINDANISHWA NA KINA KUSAH.
 
Hio namba tatu embu ngoja kwanza tui list tuone

1. Wizkid
2. Burna boy
3. Davido

Alaf tuwaache madogo ambao wamepiga shows o2 arena hadi Marekani na wamepiga kolabo kubwa na watu kama wakina ed sheeran na justine bieber madogo hao ni Joe Boy, Fire Boy na wapopo wengine wengine kibao wakina simi nani na nani?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] looh hio top 3 nadhani ndo ile kitu wabongo wanasema "ametupiga na kitu kizito".
Kwa bongo takwimu kama hizo ni kawaida mbona, juzi tu hapa zilitoka takwimu za timu yangu pendwa kwamba inashika nafasi ya 98 kwa ubora duniani, nilifurahi sn lkn baada ya akili kurudi nikaanza kupiga hesabu hizi[emoji116][emoji116]

English Premier league 20 teams
Spanish Primera La Liga 20 teams
France Legue One 20 teams
Germany Bundesliga 18 teams
Italy Serie A 20 teams

Hapo tu nikapata jumla ya timu 98 bila ya kuigusa ligi kuu ya Ureno, Scotland, Ubelgi, na kule America ya kusini kina Botafogo, Cruzeiro nk...

Hapo pia ckuzigusa timu za ligi daraja la pili za England, Spain, Italy and France.

Nikaja kugundua hii nchi ngumu sana wallahi.
 
Hapo pia ckuzigusa ligi kuu daraja la pili za England, Spain, Italy and France.

Nikaja kugundua hii nchi ngumu sana wallahi.
 
Nick alizigomea BET na hata familia nzima ya cash money baada ya BET kutumia official page yao kumdhihaki Nick baada ya kushindwa na Cardi B katika Grammy Awards. Pia Grammy Awards zishawahi kuwa boycotted mara nyingi sababu ya kuonekana kama zina ubaguzi kwa black artists kutokana na process zake

Ila huwezi sikia Nick akisema sistahili kuwekwa kwenye category moja na wasanii wengine kwenye grammy.. NEVER
Diamond hakusema hastaili bali alizungumzia fairness na transparency.
 
Binadamu Kawaida yetu kujisaha.

Ni kama yule aliesema yanga inashiriki kombe la mbuzi, wao ni wakimataifa (Aden Rage)

Kisa ushindi wa Simba dhidi ya berkane
 
Back
Top Bottom