Ukifanya vizuri kwenye mziki unapata mafanikio.Kimafanikio Diamond yuko juu ila kimuziki hana issue, watu wengi sana wanamzidi. Hata hii album yake ya juzi ni useless kabisa, kuna vijana wanamzidi domo sema tu hawajaanza kutumia uchawi kama domo au hawataki tu.
Naheshimu mawazo Yako Mkuu inawezekana nikawa hater bila kujijua, ila ukinambia ni kipi nilichoandika hakina mashiko kama ulivosema utakuwa umenisadia sanaPeople do read between the lines, maelezo yako ya kuwa wewe si hater hayaakisi arguments zako. You might be hating without realizing it, yaani chuki inaku-drive pasina kujua.
Ni kweli kwa upande wa freedom of choice haupaswi kupenda au ku-support kila kitu lakini tatizo likuja pale arguments zinapoonekana ni za kulazimisha na hazina mashiko lakini zinalazimishwa tu ili mradi zimshushe mtu kutoka pale wengine wanapoamini kwamba anastahili kuwepo.
Anakwambia "unanishindanisha na msanii ambae hawezi kupiga show ata southafrica tu? mie najaza Guinea, Siera Leone, kote kote najazs uwanja"
Hiyo ni biashara kama nyingine, huwezi tumia mda na fedha kuzalisha bidhaa ukaacha tu iende yenyewe.Naona yeye na media yake wanatumia nguvu kupush iyo EP yake iende, wenzie wamefanya listening party wakaacha mzingo uende wenyewe ila yeye ni kulazimisha mixer kutumia mpaka mahusiano yake
Mkuu waambie hawa vijana, tatizo shule shule shule jamani.Hiyo ni biashara kama nyingine, huwezi tumia mda na fedha kuzalisha bidhaa ukaacha tu iende yenyewe.
Pepsi, Coca, nk bado wana-push product zao kwa gharama kubwa.
secondary information sometimes is wrong information. Hebu nenda kasikilize interview ili upate kujua kwanini alitamka maneno hayo.Kuwa na Media ndio kipimo cha mafanikio?
hiyo anayofanya sio promotion ni stunts/kiki tu ili apate kuongelewa na kuwa mjadala kwenye mediaHiyo ni biashara kama nyingine, huwezi tumia mda na fedha kuzalisha bidhaa ukaacha tu iende yenyewe.
Pepsi, Coca, nk bado wana-push product zao kwa gharama kubwa.
Inabidi kuwa na roho ya kishetani kufanya hivyo, si kila mtu anaweza na ndiyo wamemuachia domo aendelee kumwaga damu na kufanya makafara yake.Sasa kwani nao wasianze kutumia uchawi?
NB:Mawazo ya kimasikini.
Mnamwagaga wote hizo damu na hayo makafara?Inabidi kuwa na roho ya kishetani kufanya hivyo, si kila mtu anaweza na ndiyo wamemuachia domo aendelee kumwaga damu na kufanya makafara yake.
Na bado kuna madogo wengi tu wanampita tu kwa kuimba, tungo, na sauti. Jamaa astaafu tu.Ukifanya vizuri kwenye mziki unapata mafanikio.
Tofauti na hapo,muziki hauhitajiki.
Ni sawa na mtu anayeshona nguo nzuri ila za kizamani.
Imba kulingana na mazingira.
Ni madogo gani wamempita na kwanini yeye ndio anamafanikio makubwa Sana kwanini usiwashauri hao madogo ndio waache mziki tunafanya kazi ili tufanikiwe kama kazi haikunufaishi kwanini uin'gan'ganie?Na bado kuna madogo wengi tu wanampita tu kwa kuimba, tungo, na sauti. Jamaa astaafu tu.
akili za hivi ni za kimasikini tu.Inabidi kuwa na roho ya kishetani kufanya hivyo, si kila mtu anaweza na ndiyo wamemuachia domo aendelee kumwaga damu na kufanya makafara yake.
Education level yako ni ipi?hiyo anayofanya sio promotion ni stunts/kiki tu ili apate kuongelewa na kuwa mjadala kwenye media
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa bongo takwimu kama hizo ni kawaida mbona, juzi tu hapa zilitoka takwimu za timu yangu pendwa kwamba inashika nafasi ya 98 kwa ubora duniani, nilifurahi sn lkn baada ya akili kurudi nikaanza kupiga hesabu hizi[emoji116][emoji116]
English Premier league 20 teams
Spanish Primera La Liga 20 teams
France Legue One 20 teams
Germany Bundesliga 18 teams
Italy Serie A 20 teams
Hapo tu nikapata jumla ya timu 98 bila ya kuigusa ligi kuu ya Ureno, Scotland, Ubelgi, na kule America ya kusini kina Botafogo, Cruzeiro nk...
Hapo pia ckuzigusa timu za ligi daraja la pili za England, Spain, Italy and France.
Nikaja kugundua hii nchi ngumu sana wallahi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kashaishiwa yaan. Hana mwendo tena lolUnga unampelekesha sana, kamebaki kichwa tu na sasa hivi kanaanza kujichubua, [emoji23][emoji23] tujiandae kuona Misukule yake mtaani ikijichubua pia,
Hana mistari hadi ameanza kuharibu ndoa za watu, yaan yule kijana anasikitisha mnoooo