Diamond Platnumz ahoji kwanini Ali Kiba (mkongwe) hana media yake? Atoa onyo kushindanishwa na wasanii wa Tanzania 'ni wadogo sana kwake'

Diamond Platnumz ahoji kwanini Ali Kiba (mkongwe) hana media yake? Atoa onyo kushindanishwa na wasanii wa Tanzania 'ni wadogo sana kwake'

Kimafanikio Diamond yuko juu ila kimuziki hana issue, watu wengi sana wanamzidi. Hata hii album yake ya juzi ni useless kabisa, kuna vijana wanamzidi domo sema tu hawajaanza kutumia uchawi kama domo au hawataki tu.
Ukifanya vizuri kwenye mziki unapata mafanikio.

Tofauti na hapo,muziki hauhitajiki.

Ni sawa na mtu anayeshona nguo nzuri ila za kizamani.

Imba kulingana na mazingira.
 
People do read between the lines, maelezo yako ya kuwa wewe si hater hayaakisi arguments zako. You might be hating without realizing it, yaani chuki inaku-drive pasina kujua.
Ni kweli kwa upande wa freedom of choice haupaswi kupenda au ku-support kila kitu lakini tatizo likuja pale arguments zinapoonekana ni za kulazimisha na hazina mashiko lakini zinalazimishwa tu ili mradi zimshushe mtu kutoka pale wengine wanapoamini kwamba anastahili kuwepo.
Naheshimu mawazo Yako Mkuu inawezekana nikawa hater bila kujijua, ila ukinambia ni kipi nilichoandika hakina mashiko kama ulivosema utakuwa umenisadia sana

Ningeomba ukasome nilichoandika Kisha unijuze ni kipi nimeandika ambacho sio Cha kweli na sio facts, na sio kuishia kusoma walichonijibu baada ya kusoma mawazo yangu, Niko nasubiri mkuu
 
Naona yeye na media yake wanatumia nguvu kupush iyo EP yake iende, wenzie wamefanya listening party wakaacha mzingo uende wenyewe ila yeye ni kulazimisha mixer kutumia mpaka mahusiano yake
Hiyo ni biashara kama nyingine, huwezi tumia mda na fedha kuzalisha bidhaa ukaacha tu iende yenyewe.

Pepsi, Coca, nk bado wana-push product zao kwa gharama kubwa.
 
Hiyo ni biashara kama nyingine, huwezi tumia mda na fedha kuzalisha bidhaa ukaacha tu iende yenyewe.

Pepsi, Coca, nk bado wana-push product zao kwa gharama kubwa.
Mkuu waambie hawa vijana, tatizo shule shule shule jamani.
 
Kuwa na Media ndio kipimo cha mafanikio?
 
Hiyo ni biashara kama nyingine, huwezi tumia mda na fedha kuzalisha bidhaa ukaacha tu iende yenyewe.

Pepsi, Coca, nk bado wana-push product zao kwa gharama kubwa.
hiyo anayofanya sio promotion ni stunts/kiki tu ili apate kuongelewa na kuwa mjadala kwenye media
 
Sasa kwani nao wasianze kutumia uchawi?

NB:Mawazo ya kimasikini.
Inabidi kuwa na roho ya kishetani kufanya hivyo, si kila mtu anaweza na ndiyo wamemuachia domo aendelee kumwaga damu na kufanya makafara yake.
 
wamuache tu kwani yeye ndio muziki kwanza kuna wanamuziki wazuri sana kuliko yeye so tunzo zifanyike bila yeye alafu tuone nini kitatokea simple t
 
Ukifanya vizuri kwenye mziki unapata mafanikio.

Tofauti na hapo,muziki hauhitajiki.

Ni sawa na mtu anayeshona nguo nzuri ila za kizamani.

Imba kulingana na mazingira.
Na bado kuna madogo wengi tu wanampita tu kwa kuimba, tungo, na sauti. Jamaa astaafu tu.
 
Na bado kuna madogo wengi tu wanampita tu kwa kuimba, tungo, na sauti. Jamaa astaafu tu.
Ni madogo gani wamempita na kwanini yeye ndio anamafanikio makubwa Sana kwanini usiwashauri hao madogo ndio waache mziki tunafanya kazi ili tufanikiwe kama kazi haikunufaishi kwanini uin'gan'ganie?
 
Kwa bongo takwimu kama hizo ni kawaida mbona, juzi tu hapa zilitoka takwimu za timu yangu pendwa kwamba inashika nafasi ya 98 kwa ubora duniani, nilifurahi sn lkn baada ya akili kurudi nikaanza kupiga hesabu hizi[emoji116][emoji116]

English Premier league 20 teams
Spanish Primera La Liga 20 teams
France Legue One 20 teams
Germany Bundesliga 18 teams
Italy Serie A 20 teams

Hapo tu nikapata jumla ya timu 98 bila ya kuigusa ligi kuu ya Ureno, Scotland, Ubelgi, na kule America ya kusini kina Botafogo, Cruzeiro nk...

Hapo pia ckuzigusa timu za ligi daraja la pili za England, Spain, Italy and France.

Nikaja kugundua hii nchi ngumu sana wallahi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Unga unampelekesha sana, kamebaki kichwa tu na sasa hivi kanaanza kujichubua, [emoji23][emoji23] tujiandae kuona Misukule yake mtaani ikijichubua pia,

Hana mistari hadi ameanza kuharibu ndoa za watu, yaan yule kijana anasikitisha mnoooo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kashaishiwa yaan. Hana mwendo tena lol

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom