🤣🤣🤣🤣🤣🤣hahahah ila hapo kwenye Top 100 inabidi kwanza nicheke
Asante studio.Lody music
Acha masiala hiv Leo huyo lody music alifanya show muda mmoja na show ya diamond Nani atajaza watu wengi zaidi?Lody music
MaybeHio namba tatu embu ngoja kwanza tui list tuone
1. Wizkid
2. Burna boy
3. Davido
Alaf tuwaache madogo ambao wamepiga shows o2 arena hadi marekani na wamepiga kolabo kubwa na watu kama wakina ed sheeran na justine bieber madogo hao ni Joe Boy, Fire Boy na wapopo wengine wengine kibao wakina simi nani na nani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] looh hio top 3 nadhani ndo ile kitu wabongo wanasema "ametupiga na kitu kizito".
Atakaejaza watu wengi zuchuAcha masiala hiv Leo huyo lody music alifanya show muda mmoja na show ya diamond Nani atajaza watu wengi zaidi?
Onyesha wapi hiyo EP imebumaBaada ya EP kubuma kaamua aibukie huko 😄😄
Hapa umeamua kujifurahisha tuAtakaejaza watu wengi zuchu
Naona umemjibu mwamba kea ushahidi
Jamaa tulia basi uzi wote umeujaza wewe.Hapa umeamua kujifurahisha tu
Ulichoongea hapo inaonesha kabisa tofauti yake na Wasanii wengine na ndio maana yeye anawazidi fedha Sana hadi mafanikio ya kimziki wasanii wengine Pepsi pamoja na kuwa brand kubwa Sana lakini ni kampuni ya soda ambayo inafanya promo kubwa Sananaona yeye na media yake wanatumia nguvu kupush iyo EP yake iende, wenzie wamefanya listening party wakaacha mzingo uende wenyewe ila yeye ni kulazimisha mixer kutumia mpaka mahusiano yake
Hata ingekuwa ni kipaumbele chake ana hiyo hela ya kuanzisha media?Huenda siyo kipaombele kwa Kiba.
Kwani lazima alichofanya yeye na Kiba afanye hicho hicho?
Huyu Nasibu kumbe anakuwaga na Nyodo?!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nasikia Kiba anamiliki Visima vya Mafuta Saudia, ila hapendi show off..[emoji2960]
kizuri ni kizuri tu. ni rahisi sana kukuta tangazo la Toyota kwenye tv kuliko kuona tangazo la Lamborghini. kiufupi ni mimi napenda muziki uwe mzuri wewe nakuachi izo sijui brand za muziki wa kitotoUlichoongea hapo inaonesha kabisa tofauti yake na Wasanii wengine na ndio maana yeye anawazidi fedha Sana hadi mafanikio ya kimziki wasanii wengine Pepsi pamoja na kuwa brand kubwa Sana lakini ni kampuni ya soda ambayo inafanya promo kubwa Sana