Diamond Platnumz ahoji kwanini Ali Kiba (mkongwe) hana media yake? Atoa onyo kushindanishwa na wasanii wa Tanzania 'ni wadogo sana kwake'

Diamond Platnumz ahoji kwanini Ali Kiba (mkongwe) hana media yake? Atoa onyo kushindanishwa na wasanii wa Tanzania 'ni wadogo sana kwake'

🙄😒😏😶😑😐🤨🙃🙃🙃🙂🙂🙂
 
Hio namba tatu embu ngoja kwanza tui list tuone

1. Wizkid
2. Burna boy
3. Davido

Alaf tuwaache madogo ambao wamepiga shows o2 arena hadi marekani na wamepiga kolabo kubwa na watu kama wakina ed sheeran na justine bieber madogo hao ni Joe Boy, Fire Boy na wapopo wengine wengine kibao wakina simi nani na nani?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] looh hio top 3 nadhani ndo ile kitu wabongo wanasema "ametupiga na kitu kizito".
Maybe
Screenshot_20220314-220458_Chrome.jpg
 
naona yeye na media yake wanatumia nguvu kupush iyo EP yake iende, wenzie wamefanya listening party wakaacha mzingo uende wenyewe ila yeye ni kulazimisha mixer kutumia mpaka mahusiano yake
Ulichoongea hapo inaonesha kabisa tofauti yake na Wasanii wengine na ndio maana yeye anawazidi fedha Sana hadi mafanikio ya kimziki wasanii wengine Pepsi pamoja na kuwa brand kubwa Sana lakini ni kampuni ya soda ambayo inafanya promo kubwa Sana
 
kizuri ni kizuri tu. ni rahisi sana kukuta tangazo la Toyota kwenye tv kuliko kuona tangazo la Lamborghini. kiufupi ni mimi napenda muziki uwe mzuri wewe nakuachi izo sijui brand za muziki wa kitoto
 
Back
Top Bottom