Diamond Platnumz ahoji kwanini Ali Kiba (mkongwe) hana media yake? Atoa onyo kushindanishwa na wasanii wa Tanzania 'ni wadogo sana kwake'

Haya maneno sidhan kama kasema Diamond, kwanza hayana mtiririko sahihi alafu pili yamekaa ki underground Sana hayapaswi kusemwa Na msanii mkubwa kama Diamond
 
Jamaa kachungulia kaona 2021 hakuna alichofanya, wenzie wameoa hit kibao, kaona alale mbele..
 
Akili Hana
 
Diamond Platnumz "kunilinganisha mimi na hawa wasanii wenu ni kunikosea adabu mimi, mziki hadi watoto wangu, wasanii wenyewe mnaonishindanisha nao nnawazidi kila kitu kila kitu hadhi dhambi nawazidi, kwaio sio sawa ni kuidhalilisha nchi".[emoji419][emoji625]
 
naona yeye na media yake wanatumia nguvu kupush iyo EP yake iende, wenzie wamefanya listening party wakaacha mzingo uende wenyewe ila yeye ni kulazimisha mixer kutumia mpaka mahusiano yake
Mimi hupenda kuwa mkweli kwa sababu siwezi kuwa team za kizazi hiki kulingana na umri wangu

Serious huyu dogo aliyefanikiwa kuliko vijana wengi EP yake inaweza kubuma?
 
Anachotaka yeye hakiwezekani ktk dunia hii kwa kaz yake anayofanya kulinganishwa na wenzako ni sawa tu ila ubora wa kila mmoja unajulikana ,inakuaje akatae kulinganishwa na wenzako kisa hawapo ata 100 bora mbona ktk matamasha yake anawachukua hao hao wakaimbe wote yeye aendelee kuimba na kufanya kaz huo mlinganisho hawaachie mashabik na wengine kuna muda analinganishwa kwa sababu ya kishabik tu kuna muda ni kwel anazidiwa kimzimk mfano ep yake atoe nyimbo kum na mfano kiba atoea nyimbo ktk album apo si lazima alinganishwe maana kuna nyimbo zimemzdi ubora nyimbo zake au mfano kwa mwaka ulioisha wasanii weng wametoa nyimbo kali na nyingne zimemzd ata nyimbo zake yeye ,sioni kwann anakataa ilo jambo maana ukwel unaonekana tu sio kisa kulinganishwa na wenzako kwamba yeye atashuka
 
Mimi hupenda kuwa mkweli kwa sababu siwezi kuwa team za kizazi hiki kulingana na umri wangu

Serious huyu dogo aliyefanikiwa kuliko vijana wengi EP yake inaweza kubuma?
kafanikiwa nini? hebu sikiliza nyimbo zake zote kwenye iyo EP halafu njoo utuambie hapa nyimbo gani itaenda kuvuka mipaka, Mimi nafikiri katika nyimbo kidogo iliyoenda ni My number one remix ft Davido ila zaidi ya hapo hamna kitu ila fans wake ndio wanaomjaza kujiona bora
 
Kiba usanii kwake ni luxury co Kama mond each and every thing anategemea jina lake.
Nani hatumii jina, yupo msanii anayetoa nyimbo bila kuambatanisha na jina lake?
Je jina kuwa kubwa linakuja vipi, bila ya kuwa unatoa kazi zinazokubalika na kuwa consistent jina haliwezi kuwa kubwa na hata kudumu kwenye ukubwa huo.
 
Hakuna Jambo linaloweza kwenda huko Kwa wachafu wa Roho. Pasipo kuleta chokochoko kwa Kiba..

Mnapanga interview na vimaswali vya kuuliza mkik ili ja Ep kasogee ila wapii kamebuma
EP iliyo-trend katika nchi 33 worldwide ndani ya siku tatu ndiyo imebuma?
Huko kwenye streamings za digital platforms inazidi kuvunja records kila uchwao, hapo kipimo chako cha kubuma nadhani ni wishful thinking ya ubongo wako na si kitu kingine.
Kuna wasanii wametoa albums last year lakini ki mauzo hazi-click kabisa na bragging za fanatics wao.
 
Fireboy na Joeboy habari nyingine, hapo Diamond atasubiri sana

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…