Dodoma leo
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 1,336
- 1,658
Sawa ndiyo ameshatoboa kwa East Africa, lakin awape support watz wenzake nao watoke mbona Nigeria wanabebana sana!!
Ebu fafanua ameingiza ingiza vp kias ikoKwa siku 3 mkwanja alioingiza unaambiwa si chini ya $ 100,000.00
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Acha masiala hiv Leo huyo lody music alifanya show muda mmoja na show ya diamond Nani atajaza watu wengi zaidi?
Asikudanganye mtu mkuu.Naona yeye na media yake wanatumia nguvu kupush iyo EP yake iende, wenzie wamefanya listening party wakaacha mzingo uende wenyewe ila yeye ni kulazimisha mixer kutumia mpaka mahusiano yake
Hapa duniani tunatofautiana akili na nyota, Alikiba ana watu wengi ila amekosa akili za kuwageuza kuwa chanzo cha mapato zaidi ya kukomaa na mziki tu. Siku akiacha kuimba sijui tu.Mondi hana wakumshindanisha huyo Kiba ni makelele tu yupo kwenye game miaka 18 hana kampuni wala lolote la maana yani yupo yupo tu
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Mnapimaje nyie watu?? Hebu pita Boomplay, Audiomark, Youtube halafu njoo useme tena EP imebuma.Ep kazingua San nyimbo moja nd inasikik Kama sio mbili
Anachokifanya sio promotioni ila ni stunts/kiki tuAsikudanganye mtu mkuu.
Hakuna msanii ambae hapendi kufanya promotion ya kazi zake, sema tu inahitaji budget ya maana kufanya hivyo kitu ambacho kimekuwa rahisi kwa Mond kwasababu ana platform nyingi za kufanya hivyo.
🤣🤣nyie acheni kumjaza mwenzenu anajiona kashamaliza kumbe bado yuko palepale💉💉💉💉💉💉💉
Vumilia dawa iendelee kuingia japo inauma, you'll get healed in due time.
Kwamba Diamond amezuia kuanzishwa kwa tuzo za ndani?Hii inanipa picha pia kuhusu lile tukio jingine la bondia namba moja nchini kama anavojinasibu yeye, bwana Mwakinyo kukataa mpambano na twaha kiduku sabab ya kulinda brand yake isishuke. Hili naliona kwa mondi nae kukataa tuzo za ndani anataka kulinda brand yake sababu ikitokea akakosa tuzo kama ya msanii bora wa mwaka kwa Tanzania, hii inaweza kumuharibia kiasi fulani kwa tuzo za nje.
Kwanini usisikikize kwaya au Qasida? Unataka ukasikilize Bongoflava na wazazi wako ili iwe nini yani??Unashupaza shingo kumtetea ambaye wengine tunamwona kama upuuzi tu, huo ujasiri wa kusikiliza nyimbo zenye matusi matusi unaupata wapi ukiwa na Wazazi wako hata na Watoto wako, au ndiyo kile kizazi cha digital.com?