Diamond Platnumz ahoji kwanini Ali Kiba (mkongwe) hana media yake? Atoa onyo kushindanishwa na wasanii wa Tanzania 'ni wadogo sana kwake'

Diamond Platnumz ahoji kwanini Ali Kiba (mkongwe) hana media yake? Atoa onyo kushindanishwa na wasanii wa Tanzania 'ni wadogo sana kwake'

Ficha ujinga wako hapa. Tanzania tunaendeshwa na wivu na majungu. Sasa unategemea nini kama kwenye mirabaha hakupata kitu. Diamond yuko sahihi, amevuka zamani sana hiyo level. Unaandaa tuzo majaji ni watangazaji wa clouds, eatv na efm utegemee watafanya haki.
Kwamba aliibiwa na serikali? Sidhani
 
Google anae.publish ni mtu Kama wewe tu
Acha kujitoa ufahamu, unadha ni mtu anakaa na ki tecno chini ya mwembe anaanza tu ku-type upupu.
Kampuni mpaka imekuwa reliable duniani si kibahatibahati, ni watu wanakusanya data and information from different reliable sources na wanazifanyia uhakiki. There're always chances of human errors lakini wanachokitoa ni kitu walichokifanyia utafiti kutoka katika vyanzo tofauti tofauti wanavyoviamini.
They can't do anything that may tarnish their image and credibility.
 
Kwamba Diamond amezuia kuanzishwa kwa tuzo za ndani?

Kama kuna msanii wa ndani ambae atafanya vizuri kuliko Mond endapo zikianzishwa hizo tuzo, kwanini asionekane hata kwenye tuzo za nje??

Yani Mond akubalike tuzo za nje kisha aje kufeli kwenye hizi za makopo mtakazoanzisha?

Basi watakuwa wanatumia vigezo tofauti na vile vya kule nje, na kama wanatumia vigezo tofauti unashauri tukubali vigezo vipi, vya ndani au nje?
Mkuu mbona unajibu kwa muhaho sanaa.

Nimezungumzia ishu ya kushusha brand, na nikatolea mfano wa Bwana Mwakinyo hawezi kukubali kupigana na Twaha kwa sababu ikitokea bahati mbaya kapigwa itamuharibia kwenye rank za kimataifa. Vivyo hivyo kwa mondi akikosa tuzo hapa inaweza kumuharibia kimataifa.

Nb.
kama ni tuzo jamaa akijitoa itakua na faida kwa wengine kwani wanaweza kuonekana, na sisi kwenye ile list ya wasanii wakubwa Afrika angalau wawepo wawili watatu.
 
Ahahaha, nimefurahi ulivyosema kuwa nimejibu kwa "mhaho"😂. Unajua kwanini?

Ni kwasababu sikujua kama Babalevo ana wafuasi hivi.
 
Back
Top Bottom