Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba aliibiwa na serikali? SidhaniFicha ujinga wako hapa. Tanzania tunaendeshwa na wivu na majungu. Sasa unategemea nini kama kwenye mirabaha hakupata kitu. Diamond yuko sahihi, amevuka zamani sana hiyo level. Unaandaa tuzo majaji ni watangazaji wa clouds, eatv na efm utegemee watafanya haki.
Ukraine yeye ni presidentNasikia Kiba anamiliki Visima vya Mafuta Saudia, ila hapendi show off..[emoji2960]
Google anae.publish ni mtu Kama wewe tuTuseme basi Google ndiyo hawana akili. View attachment 2150840
Tafuta hela acha unoko
Sio Tunzo ni Tuzo
More than 10 years chuma kipo ubora ule ule na sasa top 3 ya Africa.Nimegoogle na 3 bora namuona wiz,burna and Davido.
Aaaaaaaaaaa........OKA.Diamond ana stress za kula maunga EP imebuma Kama ya bonge la nyau
Acha kujitoa ufahamu, unadha ni mtu anakaa na ki tecno chini ya mwembe anaanza tu ku-type upupu.Google anae.publish ni mtu Kama wewe tu
Mkuu mbona unajibu kwa muhaho sanaa.Kwamba Diamond amezuia kuanzishwa kwa tuzo za ndani?
Kama kuna msanii wa ndani ambae atafanya vizuri kuliko Mond endapo zikianzishwa hizo tuzo, kwanini asionekane hata kwenye tuzo za nje??
Yani Mond akubalike tuzo za nje kisha aje kufeli kwenye hizi za makopo mtakazoanzisha?
Basi watakuwa wanatumia vigezo tofauti na vile vya kule nje, na kama wanatumia vigezo tofauti unashauri tukubali vigezo vipi, vya ndani au nje?
Ahahaha, nimefurahi ulivyosema kuwa nimejibu kwa "mhaho"😂. Unajua kwanini?Mkuu mbona unajibu kwa muhaho sanaa.
Nimezungumzia ishu ya kushusha brand, na nikatolea mfano wa Bwana Mwakinyo hawezi kukubali kupigana na Twaha kwa sababu ikitokea bahati mbaya kapigwa itamuharibia kwenye rank za kimataifa. Vivyo hivyo kwa mondi akikosa tuzo hapa inaweza kumuharibia kimataifa.
Nb.
kama ni tuzo jamaa akijitoa itakua na faida kwa wengine kwani wanaweza kuonekana, na sisi kwenye ile list ya wasanii wakubwa Afrika angalau wawepo wawili watatu.