Diamond Platnumz aipromoti albamu ya Harmonize

yaan sijui unafikiria nini, mondi ana followers zaidi ya 8m, konde ana 5m, hauoni mondi kampaisha sana huyo mmakonde
Ngoja na Mimi nikamfollow aisee. Kijana anajitahidi sana. Konde Boy . Teamo. Tembo
 
thread closed. [emoji123]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ubinadamu kazi ndugu yangu...lakini siku zote binadamu tuna hulka ya kukichoka kitu na ukikichoka lazima utafute kila sababu ya kukishusha hiyo hali ndo inamkuta diamond lakini pia kuna swala la mashabiki wa WCB huwa hawapendi kusikia msanii mwingine nje ya WCB anafanya vizuri na ikitokea hivyo basi ujue wataanza majungu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushabiki upo hivyo kawaida Ajibu alivyokuwa Yanga walimsifia Yanga kaenda Simba leo Yanga wanamkataa.

Kama wewe msanii ukiwa unaogopa majungu,kusemwa vibaya basi hufai kuwa msanii.
 
Haha konde Boy ni level ingine mzee pia hii album ni mpya baada ya kuhamia kwenye management mpya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haha konde Boy ni level ingine mzee pia hii album ni mpya baada ya kuhamia kwenye management mpya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah mmekutana na mwenzako sura zimewashuka yale matusi mliyokuwa mnamtukana Harmonize leo boss wenu kawaumbua baada ya kupost Album ya Mmakonde.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa sijajua mimi na ww nani alikuwa anamtukana Harmonize JF,hii post yako 2016 ukimponda Harmonize anafana na Diamond,leo 2020 unamsifia sasa mimi na wewe nani mnafiki.
Sauti ya Diamond kwenye wimbo wa Dully Sykes feat Harmonize - INDE
 
mzee mi niliamua kukaa kimya tu nakumbukua sana jamaa alivyokua anamtusi harmo sema nakausha sababu sijawahi kupishana nae huyo Daudi Mchambuzi halafu namuheshimu sana,tupo long kitambo sana jamvini.... this is jf😂😂😂😂
 
Kwa nini sio WCB i-promot mtu 1 tu ndo kam-promote?
 
Hayo uliyoniandikia hata moja sina kama ulifuatilia baada ya konde kujitoa mangapi yamesemwa? Ukimtendea mtu wema usimsimange, binadam wengi hatujui kwamba kile unachokula ni ridhiki yako hata kama utakuja kwangu ukala kile chakula ilikuwa ule wewe na ndio maana umekula, kwangu kimepitia tu, sasa Diamond na mashabiki zake wanaona alichofanya konde kakosea Sana hapana Diamond alikuwa ni ngazi anatakiwa aelewe hivyo. Hili nililolisema atanielewa mtu mwenye Imani Sana ya dini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe umeyasikia yapi?

Kaelewa kama alikuwa ngazi na ndio maanda akawa fair upande wa malipo na ndio maana kapost,sasa hivi asingepost wewe ungesemaje?

Diamond kishawahi kuongea issue ya Konde kwenye chombo chochote cha habari?

Mashabiki huwezi kuwazuia kuongea Ajibu alikuwa Yanga Simba walikuwa wanamkataa ,Ajibu leo yupo Simba Yanga ambao walikuwa wanakubali leo wanamkataa.

Huyo Diamond anapondwa na kusemwa na mashabiki mara ngapi?
 
Wengi wasiofahamu kiundani uhusiano wa hawa jamaa ndo wataamini kuna bifu la kweli ...

Bifu lao ni la faida pande zote mbili ..ukiangalia kwa mbali Ali kiba kashatolewa kwa knock out katika kuwacompare na domo

Diamond mpinzani wake mkuu kwa sasa ni harmonize ..mwamba wa Rock star chali kama mgonjwa wa kwanza wa corona...ni sawa na maji ya glasi moja kupungizia kwenye glasi nyingine

Hivyo ufalme wanagawana wenyewe kwa wenyewe ..keki hailiwi na watu wa mbali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…