Diamond Platnumz ajaza uwanja unaoingiza watu 70,000 Sierra Leone

ukiona wananchi kama wa Sierra Leone wanapagawa na mtu kutoka East Africa ujue ni ishu nyingine...
 
Hakuna festival ya mtu mmoja. Ila kutusua kwa festival kunategemea main act wanao pafom
Pardon me,mbona kichwa chako kinakuwa kigumu kuelewa? Tunachokijadili hapa ni diamond na tale kutudanganya wabongo kuwa hiyo show ilikuwa yao,yaani wao ndio walioandaa hiyo show na kujaza watu elfu70,Mimi sizungumzii u main act wa diamond,upendo ni dhana ya kufikirika haupo ndani ya moyo wangu wala haujui kilichopo ndani ya moyo wangu,so usirudie tena kuandika "mi najua haumpendi diamond" halafu mimi sio shabiki maandazi kama mashabiki maandazi wa humu wanaobishana mambo ya kiba na mond hadi kufikia hatua ya kutukanana Mimi ni shabiki wa muziki mzuri nasikiliza wimbo wowote ule ili mradi use mzuri tu kwa mfano ngoma mpya aliyoitoa chibu ft teni ni ngoma kali na ninayo kwenye simu yangu nasikiliza lakini pia siwezi kumchukia kijana mwenzangu anayetafuta ridhiki take kihalali kabisa tena huku akiwa kaajiri vijana wenzie wengi tu but also inaonesha ww ni shabiki wa wcb sio shabiki wa muziki yaani nje ya wcb wasanii wote hakuna kitu huu ndio utofauti wangu kati yangu Mimi na wewe,na kwa bahati nzuri hustle za chibu nimezishuhudia na sio kusimuliwa,
 
Sihitaji kuingia kwenye moyo wako,kuna siku nishabisha na ww so comment zako zina reflect humpendi Diamond,nimerivew comment za nyuma bahati mbaya zipo page sita,kama zingekuwa zote ningeziweka.

Pili kujisifia lazima ajisifie yaani ,maana yake anachokifanya output na impact yake kaiona so MWACHE AJISIFIE yy ndiye main act,walio wengi walimfuata KUMWONA DIAMOND.

Kwa hiyo ww ulichoumia BABUTALE na DIAMOND kujisifia ,so wasingejisifia INGEKUWAJE.?

Kwani nani amesimuliwa hustle za Chibu?
Acha kujificha kwenye shamba la mchicha.

Yaani ukiongizwa na CHUKI kuna vitu utataka kucomplicate na kutia ugumu kisa kafanya msanii usiye mpenda.

Kama humpendi Diamond acha kumfuatilia,mwisho wa siku atakuumiza.

Wizkid show Ya Paris France as Main act,lkn kuna Innoss'B na kama hujui wasanii wa DRC wana kubalika sana France na nchi zote za Anglophone.


Hapa Wizkid akishukuru na akasisitiza Souldout,ina maana alikuwa peke yake?

 
Hata kiba nae kajaza tabora ila hapendi showoff
 
Wewe mbona unakuwa mpumbavu? Pardon me wewe ni jinsia gani kwanza?
Naam kama umekiri kwamba show haikuwa ya chibu na tale km walivyotudanganya, basi mjadala kati yangu na wewe umeisha hayo mengine unaweza kuendelea kubishana na wapuuzi wenzio,humu ndani shabiki was kweli was mond ni mmoja tu wengine wote bendera fuata upepo
 
Kwa hiyo umekasirika Tale na Chibu kujisifia?

Haya Wizkid show Ya Paris France as Main act,lkn kuna Innoss'B na kama hujui wasanii wa DRC wana kubalika sana France na nchi zote za Anglophone.

Hapa Wizkid akishukuru na akasisitiza Souldout,ina maana alikuwa peke yake?

Ila kwa kuwa kafanya Diamond nongwa.
 
Tujadili vitu vingine mkuu,huu mjadala umeshafungwa,Mimi sio shabiki maandazi na Mimi kwenye ukweli huwa siwezi kubishana km mashabiki maandazi wa humu ndani km ww hivi
 
Tujadili vitu vingine mkuu,huu mjadala umeshafungwa,Mimi sio shabiki maandazi na Mimi kwenye ukweli huwa siwezi kubishana km mashabiki maandazi wa humu ndani km ww hivi
We endelea kujificha ktk shamba la mchicha ila tulisha kuona.
Au revoir
 
NI KWAMBA SHOW NI YA KWAKE MWENYEWE AU WALIKUA WASANII WENGI KAMA FIESTA?
 
Kuna MTU alikuwa anaitwa kifesi,we bado hujafika hata theluthi,bado na sidhani km utamfikia,
Nimfikie Kifesi ili iweje? Kifesi atabaki kuwa Kifesi na mimi nitabaki kuwa MIMI.

Kila mtu ana mission yake hapa Duniani so sihitaji kuwa Kifesi bali nataka kuwa MIMI.
 
Nimfikie Kifesi ili iweje? Kifesi atabaki kuwa Kifesi na mimi nitabaki kuwa MIMI.

Kila mtu ana mission yake hapa Duniani so sihitaji kuwa Kifesi bali nataka kuwa MIMI.
Kwahiyo mission yako hapa duniani ni kuishabikia wcb?
 
One of them,kama ww unavyoipinga WCB.
Safi sana,Mimi nilidhani ndoto zako ni kuwa Engineer,doctor,muhasibu au kuwa mfanyabiashara mkubwa,au mgunduzi flani au msanii flani mkubwa au muhandishi flani machachari kumbe mission yako ni kushabikia WCB,
 
Safi sana,Mimi nilidhani ndoto zako ni kuwa Engineer,doctor,muhasibu au kuwa mfanyabiashara mkubwa,au mgunduzi flani au msanii flani mkubwa au muhandishi flani machachari kumbe mission yako ni kushabikia WCB,
Nikikwambia mimi ni nani haito kusaidia, ila ukienda jukwaa la Technology,kuna watu nawashauri kuhusu Networking,Juniper,Cisco,Huawei,IP/MPLS ,Network Automation.

Kuna vitu na vimiliki mimi certificate za nje na ndani lkn hata nikikwambia haitokusaidia.

We cha msingi tuendelea kuchukuluana poa humu Celebrity forum.
 
Unataka kusema umesoma computer engineering/science au telecommunications? Km umesoma comp.engineering ma engineer hatuna akili za kijinga km zako
 
Unataka kusema umesoma computer engineering/science au telecommunications? Km umesoma comp.engineering ma engineer hatuna akili za kijinga km zako
Ndio maana hata nikwambia ww,mimi nani haitokusaidia na hutoamini na sina muda huo.

Cha msingi acha tuendelee kuchukuliana poa ila kuna watu nawafundisha,Laplace,Z transform,Fourier ,Derministic and stochaustic Signal,Classical and Control Engineering,Measurement and Instrumentation Engineering.

Wewe cha msingi tuendelee kuchukuliana poa kwani humu JF ni ulimwengu wa kambale.
 

Ukiona mtu anakusimanga of what you are it shows yeye alitamani sana kua kama wewe ila hakuweza!

Anakataa as if ana evidence you are not what u saying you are?

Yaelekea alitamani sana kua ulivyo wewe,hakuweza,hivyo anajenga wivu mkali na nyie!

Its unfortunate!
 
OK sawa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…