Diamond Platnumz ajaza uwanja unaoingiza watu 70,000 Sierra Leone

Hawa WCB wanaona wabongo ni MANDEZI? Hawajui kwamba dunia ipo kiganjani? Dimondi hapa hapa bongo hata akifanya onyesho bure hawezi kujaza shamba la bibi ndio akajaze sehemu ambayo hata hawamjui?
 
Ni kweli Diamond ni msanii mkubwa sana kwasasa ila hili la kujaza uwanja ni upotoshaji mkubwa. Eco festival ni tamasha linalohusisha wanamuziki wa jumuiya ya uchumi Africa magharibi ECOWAS, hivyo kulikua na wasanii kibao kutoka nchi mbalimali wanachama. Hata mwaka jana Pantorankin alikuwepo hivyo ni umaarufu wa tamasha ndio umejaza watu.
 
DIAMOND NDO ALIKUWA MAIN ACT OK YAANI BABA LAO KWENYE HIYO SHOW
 
DIAMOND BABA LAO ndo amerudia tena njoo na fact
Acha ushabiki ukweli ni kwamba walioweza kujaza uwanja walikua ni wakina Kanda Bongomani na imebaki historia hapa Africa. Fact soma hapa:-
 
Hawa WCB wanaona wabongo ni MANDEZI? Hawajui kwamba dunia ipo kiganjani? Dimondi hapa hapa bongo hata akifanya onyesho bure hawezi kujaza shamba la bibi ndio akajaze sehemu ambayo hata hawamjui?
Hivi ni kwanini hawa jamaa huwa wanakuona NDEZI kiasi hicho?
Ni yaleyale ya kutumbuiza kwenye ufunguzi wa World Cup.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…