Kigoma Independent
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 3,519
- 2,055
Sawa kwani davido na wizkid wanapojaza 02arena wanakuwaga peke yao..?Kila mwaka ipo...kama fiesta hata akienda Dudu baya watu watajaa..ni holiday kwao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa kwani davido na wizkid wanapojaza 02arena wanakuwaga peke yao..?Kila mwaka ipo...kama fiesta hata akienda Dudu baya watu watajaa..ni holiday kwao
Sawa kwani davido na wizkid wanapojaza 02arena wanakuwaga peke yao..?
Kwa akili yako ushawai ona show ya mtu mmoja,muda mwingine akili mnaziachaga wap lkn,ukiambiwa kaja haimaanishi alikuwa pekee yake lazima wawepo wasanii wengine maana hana mapafu ya kuperform masaa sita pekee au wewe ungeweza au unazani kuna show ya masaa 2 kisha inaisha? Hizi chuki zinawashushia heshima kwa kuchangia thread pasipokufikiriaHiyo show hayupo peke yake wakuu...ni mjumuiko wa artist Kama twenti hivi...
Nenda YouTube uone anavyopokelewagwa uko njeHawa WCB wanaona wabongo ni MANDEZI? Hawajui kwamba dunia ipo kiganjani? Dimondi hapa hapa bongo hata akifanya onyesho bure hawezi kujaza shamba la bibi ndio akajaze sehemu ambayo hata hawamjui?
Wajinga huwa hawaishagi na ndio mtaji wa Watafuta kiki na wanasiasa uchwara wanaomind lights camera action.Cha kusikitisha zaidi ni kua ipo idadi kubwa ya wajinga wanaoamini haya baada ya kuaminishwa.
Mbona hata Dr Shika nayeye alikuwa anasepa na Kijiji huko mikoani?Nenda YouTube uone anavyopokelewagwa uko nje
Acha uongoshow ni yake
Hahb eti Peke yake. Aka kajamaa kanapenda sana misifa.The event has been tagged, ‘A night of music festivities and humour’, and will take place after two successful editions in Sierra Leone and the Gambia.
The festival serves as an exchange platform for culture and music. This year's line-up includes Slimcase (Nigeria), Diamond Platnumz (Tanzania), Sophia (the Gambia), Tay Grin (Malawi) and Jose Chameleone (Uganda). They will be joined by local artists Kindo Armani, Richie Obama, Desmond Benya, Yemata, Innocent, K Man, Famous, Arkman, KME All Stars and Star Zee as well as Ghanaians Kuami Eugene and Kidi, among others.
Well-known Nigerian comedian Basket Mouth will host the show.
The third ECOFEST is going beyond West Africa to include Uganda and Tanzania and will bring together artists from 10 African countries for the first time. The festival will also showcase Salone (Sierra Leonean) music with more than 20 local acts.
Ata wikizid na davido wanapojaza arena 02,wanapewa sifa wao wakati wanakuwa wasanii wengi ok njoo na fact DIAMOND BABA LAO.
HahaaaUzuri Wa Uzi kama hizi HATERS huleta taarifa sahihi... Huko wanachimbua google...
Nikae hapa..
Kumbe mikoani Tanzania kwa wajinga aende Uganda sasa hata mtukula tu tuone kama atapata watuMbona hata Dr Shika nayeye alikuwa anasepa na Kijiji huko mikoani?
Mbona hata Dr Shika nayeye alikuwa anasepa na Kijiji huko mikoani?
Kumbe mikoani Tanzania kwa wajinga aende Uganda sasa hata mtukula tu tuone kama atapata watu
Misinfomation ni jambo baya sana kwa jamii kwani hudumaza jamii husika. Nimesoma hiyo liki uliyoweka, nikaona kweli kuna misinformation kubwa sana kwenye tukio hili kwa upande wa Tanzania kwani hiyo haikuwa show ya mtu mmoja kama nilivyokuwa hata mimi naamini bali ililkuwa ni tamasha lililohusisha wasanii wengi wa kutoka mataifa kumi ya Afrika. Tunataka Tanzania ing'ae lakini tusiwe tunaeneza habari zisizokuwa za kweli ili kuisifia Tanzania na watu wake.Mtawaongopea mandezi
![]()
ECOFEST SIERRA LEONE 2019...Using Entertainment sell Sierra Leone to the world and to enhance African Unity.
What clearly was a major break in Sierra Leone and West African Entertainment commenced just over a year ago. The greatest entertainment platform ever...ayvnewspaper.com